X wa manara asema Manara Hana Hela

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Hii ndiyo my Summary ya ALICHOKISEMA Mke wa zamani wa Haji Manara leo na Press yake:

1. Sina mpango wa Kuolewa kwa sasa.

2. Sina Mahusiano na Harmonize, ni Rafiki Yangu tu,

3. Story zote za Dubai ni za uongo na zimetungwa.

4. Manara hana hela, anayo ya Kawaida Sana.

5. Sina ukaribu wowote na Diamond na wala siendi Mbezi kwake kama wanavyosema.

6. Sikumnyima Pafyum Manara, ni uwongo.

7. Sikuwa na Amani katika ndoa nikaona bora niondoke.

7. Nilikuwa napokea vipigo.

8. Sina Mahusiano yoyote kwa sasa, kama ninayo basi ni 50/50

9. Nikiamua Jambo Langu hakuna wa kunishauri sitarudi tena kwa Manara.

10. Nimepewa ubalozi wa miezi 3 wa nywele na Emish kwa sababu nina trend na Biashara yake inahitaji mtu anae trend kama mimi.


WADAU Mnasemaje Hapo?
 
ASEME YOTE SASA NGUVU ZA KIUME ANAZO ZA KUTOSHA???
Maana washaanza kutoboa siri za ndaaaani
 
Ngoja tuendelee kufatilia matokeo ya kidato cha nne

Ova
 
😃😃

Asa si washaachana a move on mambo ya kurudisha story nyuma inaonesha ana mmiss😍
 
Ni swala la muda tuu... Hawa viumbe ni wangese sana mnoo
 
Manara nae ana nguvu za kupiga mtu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…