X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

Usimuonee huruma tena. Ukiweza mblock kabisa. Usihangaike naye. Hutakuwa na huzuni tena.
 
Amka wewe...funguka akili mapema. Mimi nilikuwa hivyo tena namlilia mtu ambaye alikuwa ananitesa sijui nilikuwa chizi jaman ..uwii mungu alivyonitoa kwenye huo utumwa sitaki sikia habar yake tena.
 
X wangu ananitumia kwenye matatizo yake!!!! Nikisha msolvia anaanza dharau,akiwa na shida ananiweka karibu!!!!!..... Kuna mda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
In short hujui thamani yako na huyo mwanamke amekudharau na hakupendi. Unatumika kama mshumaa tu! Hebu tambua thamani yako bhana! Kata daraja songa mbele daima usigeuke nyuma!
 
Back
Top Bottom