X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

Anza na wewe kumtumia kwenye matatizo yako akikukatalia mwambie haya maneno ya kiingereza, " You ignorant, selfish, self-centered, bloody, bratty, Narcissist Black heifer of a fool, now i dont know what is wrong with u, but am sure yo mama has done told u wrong,so get to the steppin take my left, beat it, save the drama for your mama, GET THA F*CK OUTTA MY LIFE NOW" halafu block hakutafuti tena.
 
X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu.

Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
Utaamka pale utakapolala kweri kweri
 
Ex? Au Mpenz? Maana ni kama haingii akilini
 
USIMKAZIE, MKAZE yeye kisha mtatulie tatizo.

Msaada uende PARALLEL na KUMKAZA,
 
X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu.

Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
Duuh mwamba hawa mademu wanafanana kabisa, hata X wang ni ivoivo ananitumia kwenye matatzo then nikishamsaidia kusolve ananiweka mbali.
Nilimpangia chumba akawa anaishi hapo, ikatokea tukatofautiana kwa sababu alianza dharau pia wife alileta nouma basi tukapotezeana tangu mwaka jana mwezi wa 12, mwaka huu mwezi wa 4 akaanza kunitafuta akanambia nimsaidie kutafuta nyumba pale anapoishi sasa anataka kuhama.
Mimi bila hiyana nikamtafutia nyumba nzur sana sehem tulivo badae akanambia ana ela ya kodi ya mwezi 1 tu so nimsaidie, mi nikamlipia miez4 mapenzi yakarud kama zaman(nikiri kua nampenda sana uyu mwanamke ni single mama with 2 children na sijazaa nae mim). Baada ya hapo akaniomba niwe namlipia ela ya mchezo wa mpeano mi nikawa namlipia na ela ya kula nampa.
Heeee wiki ya pili now naona kimya nami nmeamua kukausha ivoivo. Mara juzi kati kaposti picha yupo na jamaa ambae nlikua nahisi anatembea nae, yaani ndo kanifanya nimpotezee na hata akitaka kurud namkazia. Kwa kodi ninayomlipia pale am sure hana uwezo wa kulipa wala, atarudi tu kujichekesha ndipo hapo ntakapomuonesha kua sitaki Ujinga kwenye mapenzi
 
Hiyo huruma itakuponza.. Unataka mpaka akutoe roho ndio ujue ni shetani?
 
Anza na wewe kumtumia kwenye matatizo yako akikukatalia mwambie haya maneno ya kiingereza, " You ignorant, selfish, self-centered, bloody, bratty, Narcissist Black heifer of a fool, now i dont know what is wrong with u, but am sure yo mama has done told u wrong,so get to the steppin take my left, beat it, save the drama for your mama, GET THA F*CK OUTTA MY LIFE NOW" halafu block hakutafuti tena.
damn!
 
Duuh mwamba hawa mademu wanafanana kabisa, hata X wang ni ivoivo ananitumia kwenye matatzo then nikishamsaidia kusolve ananiweka mbali.
Nilimpangia chumba akawa anaishi hapo, ikatokea tukatofautiana kwa sababu alianza dharau pia wife alileta nouma basi tukapotezeana tangu mwaka jana mwezi wa 12, mwaka huu mwezi wa 4 akaanza kunitafuta akanambia nimsaidie kutafuta nyumba pale anapoishi sasa anataka kuhama.
Mimi bila hiyana nikamtafutia nyumba nzur sana sehem tulivo badae akanambia ana ela ya kodi ya mwezi 1 tu so nimsaidie, mi nikamlipia miez4 mapenzi yakarud kama zaman(nikiri kua nampenda sana uyu mwanamke ni single mama with 2 children na sijazaa nae mim). Baada ya hapo akaniomba niwe namlipia ela ya mchezo wa mpeano mi nikawa namlipia na ela ya kula nampa.
Heeee wiki ya pili now naona kimya nami nmeamua kukausha ivoivo. Mara juzi kati kaposti picha yupo na jamaa ambae nlikua nahisi anatembea nae, yaani ndo kanifanya nimpotezee na hata akitaka kurud namkazia. Kwa kodi ninayomlipia pale am sure hana uwezo wa kulipa wala, atarudi tu kujichekesha ndipo hapo ntakapomuonesha kua sitaki Ujinga kwenye mapenzi
Aiseeeeh huu ujasiri hua mnautoa wapi nyie majamaa?! Kosa la kwanza ni kurudiana na x-wako, kosa la pili ni kuanza kumuhudumia x-wako,... Sasa x-wako mwenye watoto wawili unatafuta nini kipya kwake?! Si bora ukahonge toto la chuo jipya jipya huwezi hata kuingia hizo gharama...tunatofautiana sana
 
mkuu kubali yaishe bado unampenda na yeye ndo alikuacha sasa cha kufanya ni kukubali yaishe...
 
unasaidia "ADUI" niamini ninachokwambia. Hakuna mwanamke anayefurahi akiona X wake ana move on hata kama ameolewa na tajiri. Huwa wanatabia ya kujenga offside(kibendera)🤣🤣🤣🤣 then unapigwa tukio nene ndio mazima na hata kifooo
 
tunaomba jinsia yako me au ke?kama ke je umeshaolewa?hao watu huwa wanawapaga nini mimi mbona sijawahi kumpa mtu roho yangu kiasi hicho?
 
Kumsaidia sio kosa ila inategemea unamsaidia kivipi, kipesa , au kimawazo au kivipi inategemea na msaada wenyewe.ila km unamsaidia kimawazo afu anakupa na mzigo we kubali tu malipo ya msaada kwa msaada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom