cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
X wangu nilibahatika kupata naye mtoto mmoja lakini tushaachana, mtoto anakaa na bibi yake, lakini huyu X wangu kila akituma ujumbe anataka nimjibu, nisipomjibu ananuna na 'I miss u' nyingi lakini yeye ana mke na watoto wawili.
Maswali yake sasa utasikia tu ananiuliza hujanikumbuka? 'Nikimblock' ananuna kwanini 'namblock' wakati tuna mtoto?
Mimi huwa simtafuti, kila siku anaanza yeye kunitumia ujumbe, mara nimekukumbuka mara natamani tuonane, tunaonana vipi wakati yeye ana familia mpya?
Ushauri wenu muhimu.