cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Chagua mwenyewe.Kipi cha kushika kushoto na kipi kulia!Story hii na ile ya viziwa vidogo ipi ni chai ipi ni chapati
Mmh naona chai ni chai na kitafunwa ni chai pia 😁Chagua mwenyewe.Kipi cha kushika kushoto na kipi kulia!
Ndiyo muda wa kujikuta unayatafuna meno yako mwenyewe bila shuruti.Au,kunywa chai kwa matembele!Mmh naona chai ni chai na kitafunwa ni chai pia 😁
Mwanamke ndie mwenye tatizo hapa.kulingana na mwandiko lakiniKwa kauli yako unathibitisha ule msemo wetu wa wanaume kuwa "tusioe mwanamke mwenye mtoto" dada kwa hakika mahusiano ya sasa/ndoa yako kama ushafunga haiko salama. Unaruhusu vipi mazoea ya kijinga hayo, inaonyesha nawe pia unapenda akuzoee hivyo, ila tambua kuwa unajishusha utu wako na ex wako anakuona utampa tunda tena. Kuwa na msimamo ili uwe na mahusiano mazuri, awe anawasiliana na mama yako mwenye mtoto sio anakuzoea hivyo.
Mpe utamu bana acha kujibana banaKama kichwa cha habari kinavyojieleza,
X wangu nilibahatika kupata naye mtoto mmoja lakini tushaachana, mtoto anakaa na bibi yake, lakini huyu X wangu kila akituma ujumbe anataka nimjibu, nisipomjibu ananuna na 'I miss u' nyingi lakini yeye ana mke na watoto wawili.
Maswali yake sasa utasikia tu ananiuliza hujanikumbuka? 'Nikimblock' ananuna kwanini 'namblock' wakati tuna mtoto?
Mimi huwa simtafuti, kila siku anaanza yeye kunitumia ujumbe, mara nimekukumbuka mara natamani tuonane, tunaonana vipi wakati yeye ana familia mpya?
Ushauri wenu muhimu.