Happy birthday Mtambuzi a.k.a Baba Ngina..Mungu akujaalie sana na akuongezee wingi wa siku. Na kwa sababu dadaangu AshaDii ameamua tukugongee bonge la sherehe. Na mimi kwa dhati na heshima kubwa nakubali uteuzi. Kama ambavyo kwenye harusi ya pacha wangu snowhite na shughuli ya kipenzi changu sakapal niliwaalika Savage Garden, Westlife na Back Street Boys. I hope this time ntafanya makubwa zaidi...
Ujumbe wangu kwako ni huu :ACTING COOL WILL ONLY MAKE YOU LOOK STUPID, BEING YOURSELF MAKES U UNIQUE, BEING KIND AND POLITE MAKES U MATURE AND BEING HELPFUL MAKES YOU A SPECIAL SPERSON!!!
Kaka Mr Rockyza A City?..long tyme no see you braza..
Usisahau kuja na kitu cha huko Arachuga mkuu wangu..
BADILI TABIA hujambo mama? Miss you saaana pande hizi. Leo unakujamo na nani?:A S 39:Smile mie nimependa kikatuni
HAppy Birthday daktari Mtambuzi...sijui ni mvua ngapi ila wanasemaga life starts at forty...kwa sisi tulio kwen 50s sijui ndo tupo kwen climax?
sweetlo gfsonwin upo wapi leo mbona ndani sikuoni?
Shemeji cacico come zis way please halafu kuna kitu ntakwambia pande zileeeee...ila leo hapa kwa Mtambuzi ni kula kunywa hadi kieleweke
Kwenye vinywaji ntaomba vijana kama kina BAGAH, platozoom, Judgement na Erickb52 wanisaidie.
Kuna 'wazee maarufu" kama Fidel80, Teamo, RR, TIMING, Bigirita, The Finest, hao watapewa sehemu ya kukaa na kula kilaji from morning huku wanaburudishwa na Smile (leo kaamka vizuri naona)
Happy birthday to you again mchambuzi Mtambuzi!
Kaizer bwana..hehehehemkuu labda ni uzee lakini hapo kwa sakapal pamenipita...lini hiyo umemeliza mambo! Tukuongezee mwingine? hahahah
Hapo kwenye Maakuli kama tungeongezewa mwanaume mmoja ili awe anatufokeafokea jikoni pindi tunapotaka kudokoa Nyama au Kipaja cha kuku AshaDii
Huu ni upendeleo wa wazi kabisa na haikubaliki kwa viwango vyovyote vile........Kila mtu hapa Jukwaani anajua eksipiriensi yangu kwenye masuala ya vinywaji .......haiwezekani mtu atoke from no wea aje apate nafasi adhim kama hii na wakongwe tupo kisa muandaaji wa sherehe ana pasono interesti na mchaguliwaji.
Narudia haiwezekani na patachimbika period!
mkuu labda ni uzee lakini hapo kwa sakapal pamenipita...lini hiyo umemeliza mambo! Tukuongezee mwingine? hahahah
PAMOJA SHEM Kaizer
Hii kazi ya wewe kupanga watu wa vinywaji nimeshamueleza kabisa AshaDii kwamba haikubaliki kwa viwango vyovyote vile...............Watu tuna CV zetu murua kwenye hivyo vitengo halafu wanapewa watu wengine kabisa!!!!
Nasema leo patachimbika!
Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali? :biggrin:
nipo my shemeji, namkandakanda hubby na kumbembeleza tuje, kaiba mke wa mtu jamvini, anaogopa kujitokeza hapa, lol!HAppy Birthday daktari Mtambuzi...sijui ni mvua ngapi ila wanasemaga life starts at forty...kwa sisi tulio kwen 50s sijui ndo tupo kwen climax?
sweetlo gfsonwin upo wapi leo mbona ndani sikuoni?
Shemeji cacico come zis way please halafu kuna kitu ntakwambia pande zileeeee...ila leo hapa kwa Mtambuzi ni kula kunywa hadi kieleweke
Kwenye vinywaji ntaomba vijana kama kina BAGAH, platozoom, Judgement na Erickb52 wanisaidie.
Kuna 'wazee maarufu" kama Fidel80, Teamo, @RR, TIMING, Bigirita, The Finest, hao watapewa sehemu ya kukaa na kula kilaji from morning huku wanaburudishwa na Smile (leo kaamka vizuri naona)
Happy birthday to you again mchambuzi Mtambuzi!