>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Happy Birthday Mzee Mtambuzi...May you live as long as you wish and love as long as you live. Ni mimi mjukuu wako***Young Master***
 
Happy Birthday Mtambuzi.

:gossip🙁 Umetimiza miaka mingapi? ) Hivi kumbe na wewe ulizaliwa?
 
happy birthday Mtambuzi.Mungu akuzidishie siku na uendelee na kazi nzuri ya kuelimisha jamii
 
Last edited by a moderator:
Kheri yakuzaliwa babu mtambuzi... Mwenyezi mungu akupe maisha yenye heri na baraka.
 
nipo my shemeji, namkandakanda hubby na kumbembeleza tuje, kaiba mke wa mtu jamvini, anaogopa kujitokeza hapa, lol!

nashangaa Asprin huku huyu aibe mke wa mtu ? hebu ninong'oneze shemeji......khaaa au kapewa kichapo? aje na manundu shereheni?
 
Last edited by a moderator:
Braza sidhani kama Kaizer anaweza kuleta mchezo wa kurushiana mawe wakati yeye mwenyewe nyumba yake ya vioo..

Kiongozi SnowBall we unamsikiliza Mr Rocky? huyo lengo lake anichafue tu basi hana jingine.....mii nimeulzia kwa nia njema kabisa. Kijana wangu ukiona ona kwen sherehe nishtue nifanye mambo ,, sakapal yuko wapi?

halafu kumbe jamiif ni mwanadada mimi mbona sikumwona akienda kwen ukaguzi wa mzee Asprin?
 
Last edited by a moderator:
happy birthday Mtambuzi,
MOLA AKUZIDISHIE MBINGUNI NA DUNIANI
UPATE ZAKE REHEMA MOYONI HATA MACHONI
UDUMU MWENYE UPENDO NA FURAHA IWE YAKINI
TWAJIFUNZA KWAKO MENGI MAISHA NA MAPENZINI
MOLA AKUZIDISHIE MBINGUNI NA DUNIANI.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu yangu Kaizer hata mimi nimeshindwa kushangaa kwa nini [MENTION]Mr Rock[/MENTION] kakutemea cheche...By the way my dear sakapal nadhani atakuwa anachungulia kwa mbaliii..Kusema kweli hii habari ya jamiif na mimi ndiyo nimeisikia kwa mkeo AshaDii ..any ways ngoja aje afunguke mwenyewe!!..Ntakushtua mkuu wangu manake najua tunaatend darasa moja la magwiji gfsonwin na snowhite hivyo mambo ya practicals muhimu aiseee..
 
Last edited by a moderator:
we sashadii wewe hahahahahahaha!!!!asante kwa kunionea huruma mwaya..lol...
 

am right here:high5:, my dearest SnowBall ndo kaniamsha.
 
HAHAHAHAHAH,
KIKWETU TUNASEMA HIVI
ALLES GUTE ZUM GEBURTSTAG MEIN BRUDER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…