>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

nitaenda jamani kwani nami ni mdada wakuu..
 

haaa nimemwona mwalimu snowhite kaingia kwa style ya mashairi, sijui kutakuwa na sehemu ya 'mashairi' kwenye ratiba? hivi nani incharge wa ratiba jamani.... TANMO haiwezi hii kazi kweli. Hivi walituambia sehemu ya practical tunafanya lini au tufanye tuwape majibu?
sakapal naona katokelezea pia
jamiif u mpweke?
 
Last edited by a moderator:
nitaenda wakuu majukumu tu...lol...
 
Etiiiii??????????????? (Hebu fafanua hapa umemaanisha nani)

Mbjona umeniweka kweney mabano my dearest wife
Nimemsema Kaizer hapo juu maana ana tabia moja ya ajabu sana
Huwa anaingia single kwenye sherehe ila ni lazima atoke na mtu
hapo utajaza mwenyewe huyo kampata wapi SnowBall nina uhakika na nisemalo so muangalie sana my wife wako asije akaingia kwenye anga za Kaizer
my wife wangu Dena Amsi mekumiss mbaya sana
 
Last edited by a moderator:
wee, thubutu upweke utoke wapi wakati nina mume wangu...hahahahahahah!!!!
 

Mkuu Kazier najua utakuwa umesahau walichosema magwiji snowhite na gfsonwin kuhusu practicals manake unakuwaga busy sana na simu ya mkeo AshaDii..but worry not kwa sababu utakuja kwenye birthday to you ya Mtambuzi basi ntakung'ata sikio. Naona jamiif na sakapal wameibuka..lol!...
 
Last edited by a moderator:

Hujanibembeleza kirahisi hivyo jibu swali langu halafu ndo tuendelee
 
itabidi tu iwemo i see.tena wewe utaimba la kwanza SnowBall la pili Asprin la tatu.na gfsonwin atamalizia,kibwagizo ataimba mdogo wenu lara 1
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
namwangalia tu kwa chati hapa anavosahau notes za kila siku kuzifanyia practicals,eti Kaizer mbona unakuwa mbishi hivo ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…