>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

sakapal hanitishi hata km ni from tanga, sasa mimi ni from sumbawanga na nina contacts huko tanga...sijui ajifiche wapi hahahahaha...thubutu yake!

Kitu Sumbawanga..lol..hapa nadhani ngoma droo!!
Ila usinifanye zombie..nadhani hapa lara 1 anahusika..hehehehe!
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Mtambuzi
mwenyezi mungu akupe maisha mema na marefu tuendelee kuburudika na story zako zenye mafunzo. AshaDii......Chakula kikiiva naomba kusogea kwenye Vinywaji..


 
Last edited by a moderator:

ashadii usinisahau kwenye kamati ya vinywaji vikali na kamati y kuhonja misosi. Hapy bathday MTAMBUZI
 
Last edited by a moderator:
Miss you and Love u mamito sakapal:A S-heart-2: manake kwa mapenzi yako :yo:

Thank u my heartbeat SnowBall, mapenz yako ya kweli ndo yanatufanya tudumu na tupendane milele hata kifo kitakapotutenganisha, wala sihitaji limbwata kama wanawake wengine wanavohangaika, upendo wa dhati na uaminifu juu yako chachu ya mapenz yetu.
LOVE U MORE MAPIGO YA MOYO WANGU SNOWBALL.....:hug:
 
sakapal umetisha..bro Kaizer njoo bana pande hizi manake shuzi limepata mjambaji!
Nadhani jamiif umeona mwenyewe hili trailler...hehehehe
 
Last edited by a moderator:
Nami ngoja nijitokeze kumpongeza kaka mtambuzi
hongera mungu akupe miaka mingi na yenye heri na fanaka katika maisha yako upate wingi wa siku
ila mbona hamjanipanga safu ya uimbaji nami nataka kukushirikishwa
 
Kaiser bitte trinken Sie heute nicht zu viel, weil Mtambuzi nicht verstehen wird, wenn alles von uns getrunken werden wird. Vergiss nicht Asprin, dein Partner, kommt nicht. Lassen Sie uns am Mtambuzi Pub für ein paar Bier treffen.
(Jioni lakini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…