XAVI bado ashikiria rekodi ya Barcelona...

XAVI bado ashikiria rekodi ya Barcelona...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
KIUNGO wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Hernandez Xavi ambae pia ni miongoni mwa wachezaji walio pata mafaniki0 na klabu hio na timu ya Taifa hilo bado yupo kileleni, akishikiria rekodi ya kuichezea klabu hio mechi nyingi zaidi katika ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Xavi akiwa na klabu yake hio alioitumikia kwa nguvu zake zote na moyo wake wote, aliichezea jumla ya mechi 151 za ligi ya mabingwa barani Ulaya.


MORE ON...
Pamoja na kuondoka klabuni hapo, Xavi bado anashikiria rekodi ya Barcelona…
 
Back
Top Bottom