Computer4Sale Xbox one S imestuck kwny 480p resolution

Computer4Sale Xbox one S imestuck kwny 480p resolution

king herode

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
368
Reaction score
571
Habari wadau wa games,nimekumbana na shida kwny xbox one S machine hapa nilikuwa nacheza game fifa 20 ikazima ghafla na kuwaka ilivyowaka tu imestuck kwny 480p resolution nimejaribu kila namna nimeshndwa kuitoa wakat mm hapa nyumbani nina 4k tv na ndo naitumia siku zote,, kama kuna mtu ashawah kukumbana na changamoto hii please anielekeze nn nifanye
 
Back
Top Bottom