Xenophobia and its effects

Ninashukuru kwa jibu lako lakini bado mimi sioni tatizo la lugha. Hizo unazozitaja ni redio ambazo ni za kitaifa. Lakini akaja mjasiriamali mdogo ambaye anataka kutangaza kizaramo sioni shida ikiwa lengo lake ni kunufaisha wanaotumia lugha ile na pia kuienzi. Wajerumani na wajapani wanatumia lugha moja nchi nzima.

Lugha zile ambazo labda wamekosa uwezo wa kumiliki redio au mtu wa kurusha ujumbe lugha zao, bila shaka zitakufa na ndio kawaida ya lugha ambayo haijahifadhiwa kwa maandishi au matumizi. Tanzania ikiendelea na kuenzi kiswahili bila shaka siku za usoni lugha nyingi zitapotea. Hiyo ni kawaida kabisa.

Ukiingia tovuti ya BBC utakuta kurasa nyingi sana na hata za lugha/lafudhi tofauti hata za uingereza. Kuna Welsh- Newyddion - Hafan na pia Scottish - Naidheachdan - Dachaigh. Lugha hizo za waingereza siyo za kimataifa lakini zinatumika. Ni mawazo ya mtu, vitendo vyake na dhamira zake ambazo zinaweza kueneza chuki hizo. Hamna shida kabisa kuwasiliana lugha hata zile ndogo kabila ikiwa ujumbe wako ni wa amani. Mbona nyimbo za lugha tofauti tunafurahia? Labda Saida Karoli tungempiga stop ili tuimbe Kiswahili tu? TATIZO NI WATU wala siyo LUGHA.
 
The injured were rushed to Tumbi Referral Hospital first, though still hundred kms apart! What annoys me is being a Journalist u need to think rational all this could be spotted and explained! But that biased journalist chose to skip that and put only hate part! That was unfair coverage, probably the next time such an accident happen even that late response won't be there!
 
Here you are again posting unreasonable comments very unreasonable and pointless i dont know whats wrong with you and tz, you might have that school education dat you claim you have phd or masters etc, good for you vry good.
Sasa kitu ulopost hapo kinahusiana nini na huyo journalist wenu alepost vitu hatred towards Tz, through you and a few others of yo kinds in dis forum nazidi wafahamu sana majority ya wakenya. Spare us the hate brother please be a reasonable person bana mambo gani haya kaka, you are a disgrace to your people change that attitude neighbour where did you breed? Somalia I guess, acha hiyo mambo man you had to correct huyo mwandishi alopost hiyo topic huko juu, uliniuliza jana what was I creating kwa ile point na wewe nkuulize what is that person creating? I thought you learned sumthin yesterday kumbe hakuna kitu, jamani jamani majirani ni nn kati yetu nanyi? we were supposed kuelimishana na kusaidiana humu sasa haya mambo wakenya mnapost kila siku blaming Tz mi i fail to understand, kwa mwendo huu sijui labda 2040 hiyo EAC ndo itakaa sawa, how i wish hawa viongozi wa bongo wawe wanavisit hii forum wajue what in the world they are about intergrate with. Quit that chuki and dharau bwana Smatta and yo fellow Journalist
:israel::israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…