Yoyo Zhou
Senior Member
- Jun 16, 2020
- 126
- 215
Bw. Xi Jinping alimtazama baba yake, na kukumbuka wajibu wake moyoni wa kuwahudumia wananchi na kulistaiwsha taifa la China.
Upendo wa baba wa Xi Jinping umekuwa mkubwa, Bw. Xi Zhongxun aliwekaf mfano wa kuigwa na kurithishadesturi ya familia.
Bw. Xi Zhongxun alikuwa mfanyakazi mwanamapinduzi hodari, ambaye amemrandisha sana mtoto wake Xi Jinping. Wote wana moyo wa kukubali wajibu, na wanaonyesha mfano wa kuigwa kwa kauli na vitendo, na kuwahudumia wananchi kwa moyo wote.
Kwenye barua yake kwa baba, rais Xi Jinping alisema, wewe ni kama mtumishi unayefanya kazi kazi kwa bidii kwa ajili ya watu wa China. Hii pia inanihamasisha kuchangia maisha yangu yote katika mambo ya kuhudumia wananchi.