Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Rais wa China Xi Jinping akutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika Ikulu ya Kremlin mjini Moscow
Rais wa Urusi alimpokea Xi kwa mazungumzo katika Ikulu ya Kremlin na katika kikao hicho Mascow inatumai itapata msaada wa kidiplomasia kutoka kwa China hasa katika vita yake na Ukraine.
Rais Xi Jinping, amesema Beijing itasimama pamoja na Urusi kukabiliana na "unyanyasaji wa kibabe" kutoka kwa mataifa mengine
"Katika kukabiliana na mtindo wa kimataifa wa unyanyasaji wa kibabe na utawala wa peke yake, China itashirikiana na Urusi kubeba majukumu maalum ya nchi kubwa duniani," alisema Xi kwa Putin.
Xi pia alisisitiza "kuimarika" kwa uaminifu kati ya mataifa hayo mawili.
"Uaminifu wa kisiasa kati ya China na Urusi unaendelea kuimarika, na uhusiano wa ushirikiano wa kivitendo unaendelea nguvu," alisema.
Source: ABC NET News