Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

Xiaomi 12S Ultra ni moto wa kuotea mbali

Nitajaribu kuzitumia 2023...naombeni muongozo nianze naipi ili nisijutie maamuzi..mana nimefuga ndoa ya kiislamu na Samsung.

#MaendeleoHayanaChama
 
Una mnara wake kijijini kwenu?
Swali linalofanana na hili, niliulizwa na bosi, wakati niko mchanga, kwenye ajira.

Niltaka kununua pasi ya umeme, nilivyomgelea tu swala Pasi, akaniuliza una umeme, kijijini kwenu, nilimshangaa sana, mimi naisha mjini kwenye umeme, nishindwe kumiliki vitu vya umeme, kisa kijijini kwetu hakuna umeme.
 
Nataka 2023 nihamie oppo, nipe pendekezo ili nionje mema ya oppo natokea redmi 9 nataka nivuke level kidogo
Chief Mkwawa ndiye atatusahihisha vizuri, maana ndiyo fani yake hii.

Mkuu Oppo toleo 2023 sina uhakika kama limeshatoka, japo mimi namiliki toleo la mwisho kabisa 2022.
 
Shida ya xiaomi kwa miaka ya sasa amekuwa akitumia body specs moja kwa simu zake nyingi , hata ukinunua simu model mpya bado unakuwa kama unatumia model ya zamani, halafu kwa sasa zipo serious overpriced
Nilikuwa die hard fan wa xiaomi , ila nimeamua kurudi samsung, , swipe to dial.or sms ni.moja ya feature kali.
 
Hiyo feature xiami hana?
 
Hana! Sio xiaomi tu hqta amakampuni makubwa hawana, hiyo ni mali ya samsung walijaribu lenovo miaka fulani wakakutana na copyright issues
Dual bluetooth sound plqying , pia ni mali ya samsung
 
Back
Top Bottom