Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Wewe ni marketing officer wa Xiaomi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamiliki oppo ipi? Vipi kuhusu ukaaji chaji, uzuri wa display, na kasi katika utumizi?Chief Mkwawa ndiye atatusahihisha vizuri, maana ndiyo fani yake hii.
Mkuu Oppo toleo 2023 sina uhakika kama limeshatoka, japo mimi namiliki toleo la mwisho kabisa 2022.
We naye acha uongo, Xiaomi sio overpricedShida ya xiaomi kwa miaka ya sasa amekuwa akitumia body specs moja kwa simu zake nyingi , hata ukinunua simu model mpya bado unakuwa kama unatumia model ya zamani, halafu kwa sasa zipo serious overpriced
Nilikuwa die hard fan wa xiaomi , ila nimeamua kurudi samsung, , swipe to dial.or sms ni.moja ya feature kali.
Mkuu unanikosea kuniita muongo kuwa muungwana kwa hojaWe naye acha uongo, Xiaomi sio overpriced
Kwa pesa yoyote ile, huwezi ukanunua Samsung kali ambayo inaizidi Xiaomi ya bei hiyohiyo
Kama ni bei sawa na iPhone 14 (plain) basi hapo iPhone ndio iko overpriced, maana hiyo iPhone 14 haimgusi hata kidogo Xiaomi 12S UltraMkuu unanikosea kuniita muongo kuwa muungwana kwa hoja
Nimeanza kutumia xiaomi remdmi 4, na ya.mwisho ilikuwa mwaka juzi, sijaacha model zote hadi ilipofika redmi 10, wapoanza kutumia android dialer na sms app ladha ikaanza kupungua na bei zikaanza kuwa si rafiki
Hii model ya 12s ultra ni bei sawa na iphone 14
Duuuh, hili balaaKwa ishu ya charging Xiaomi 12 pro ina 120W charger
Inachaji simu hiyo kutoka 0% to 100% kwa dakika 18 tu
Hakuna Infinix wala TECNO inayotumia Snapdragon, Xiaomi Redmi 10C inatumia Snapdragon 680, storage yake ni UFS na inatumia USB Type C 2.0 na bado bei ni laki tatu. Hapo hujaziona Xiaomi za milioni 3. Hizi simu hazipo hata karibu na TECNO kabisaHuyu ni Mdogo ake Infinix au Dada ake Techno
Hakuna TECNO wala Infinix inayotumia Snapdragon, zote ni MediaTek. Redmi 10C inatumia Snapdragon 680, storage yake ni UFS na inatumia USB Type C 2.0 charger na bado bei yake ni laki tatu. Hakuna hata Samsung yenye sifa hizi kwa laki tatu. Hapo bado hujaziona Xiaomi za mamilioni halafu wewe unasema ni dada wa Infinix au TECNO. Be seriousHuyu ni Mdogo ake Infinix au Dada ake Techno
No, Samsung ni brand yangu ya pili kuikubali ila inaanza XiaomiKwani una mgogoro na sumsung [emoji849][emoji849]
Naona ume ichallenge kama vile zipo brands mbili tu..No, Samsung ni brand yangu ya pili kuikubali ila inaanza Xiaomi
Mbona umeuliza hivyo[emoji848][emoji848]
Wapi zinapatikanaUPDATE: Xiaomi 13 Pro imeshatoka
AliExpress, around 2.8MWapi zinapatikana
Mkuu hiyo laki sita tayari imeshakuwa kuwa nyingi, usinunue Infinix wala TECNOHivi kati ya infinix, Tecno, Xiaomi, redmi na oppo simu zipi ni nzuri kwa kutumia na kwa ubora ( battery life na storage). Naombeni msaada wakuu, wakiutaalam zaidi nataka niingie dukani.
Nb; uwezo wangu 600k
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ufafanuzi mkuu [emoji120]Mkuu hiyo laki sita tayari imeshakuwa kuwa nyingi, usinunue Infinix wala TECNO
Tigoshop wanauza Xiaomi Redmi Note 10S ya 6GB RAM na 128GB storage kwa TSh 500,000/=
Na sio Tigoshop tu, Kariakoo zimejaa kibao na bei ni hiyohiyo laki 5, sehemu nyingi inafika hadi laki tano na nusu
Hii simu, hamna kuhofia suala la charge maana betri lake ni kubwa sana 5000mAh, hii simu utatumia asubuhi hadi giza linaingia imebaki 30%
Storage ndio hiyo 128GB na RAM kubwa tu 6GB na chipset strong ya MediaTek Helio G95, moja ya MediaTek kali kabisa, imefunika Snapdragon nyingi tu
Simu hii inaweza kurkodi 4K videos kitu hiki ukinunua brand nyingine kwa bei hiyo ni nadra kukipata na kamera yake ina 64MP na ni kali sana
Kioo chake ni super AMOLED na inafikia hadi 1100nits
Hii simu nenda google uiangalie mkuu utaipenda, kwa pesa hiyo ni ngumu kupata simu nzuri kama hii
Kwa nini umeuliza hivyo[emoji848][emoji848]Wewe ni marketing officer wa Xiaomi nini?