Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ซ๐ถ๐ฎ๐ผ๐บ๐ถ ๐ฏ๐ถ๐ป๐ด๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐ฟ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ
Kwenye Events ya MWC wa mwaka 2025, wachina bhana waliweza kuonyesha simu yao mpya aina ya Xiaomi 15 Ultra ikiwa na muonekano wa kipekee na wa kuvutia kwa mwaka 2025.
Inaitwa Xiaomi 15 Ultra ni flagship smartphone ambayo imetolewa 27 Februari 2025 ikiwa feature mbalimbali ndani yake;
๐ค Xiaomi 15 Ultra specs:
๐ processor yake ni Snapdragon 8 Elite processor 4.32 .Mhz octacore.
๐ Android version 15 + HyperOs 2.0
๐ก Display yake Ina 120Hz ikiwa na inchi 6.73 resolution ya 3200 ร 1440pixels.
๐ Betri lake 5410Mah + 90W fast charging + 80W ya wireless charging
๐ธ Kamera yake ya Nyuma 200mp + 50mp + 50mp yenye kutoa picha Kali balaa.
๐ท Kamera ya mbele ni 50mp
๐ฃ๏ธ IP rating 68
๐ก CHAKUVUTIA ZAIDI:
๐ค kwenye hii toleo la Xiaomi 15 Ultra ni Simu Bora kwa upande wa Kamera inatoa picha nzuri kuliko toleo jipya la Samsung s25 Series' na Iphone 16 series na kuifanya kuwa simu pendwa yenye Kamera Kali Mwaka huu 2025.
Lensi yake ni Kali balaa unavuta kitu kwa umbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu wa aina yoyote โ๏ธ.
๐ค Uwezo wa kuchaji simu yako ndani ya dakika 20 na kujaa bila kusahau wireless charging ambayo unaweza mrushia Mtu chaji kwa spidi kubwa ndani ya muda machache na kufikia Asilimia 50.
๐ค Ina Ram ya 16GB na internal storage ya 512GB inayokufanya Hutumie simu bila kuwaza kama itajaa kwa muda mrefu bila kuganda Ganda kutokana na uwezo mkubwa wa Ram iliyopo ndani. Wifi yake ni kinanda kwani version ya wifi 7 yani wewe suala la intaneti kusumbua utasahau kabisa.
Itaanza kusambazwa ulimwenguni kote kuanzia Machi 11 ambapo gharama yake inaanzia TzSh 2.6 milioni/= mpaka TzSh 2.8milioni /=