Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 560
Huwezi pata Note 10 mpya kwa laki 3.Chukua Redmi note 10 ninzuri zaidi kuliko hio na bei itakua imepoa kidogo
mkuu ninabudget ya 700K, natafuta simu yenye quality nzuri maana nihitaji kwa ajili ya kushoot videos high quality,Kama Camera ni priority sana huwezi pata Camera nzuri kwenye lowend. Utapata tu camera ya kawaida sana sana uweke Gcam itaongeza tu Quality kidogo.
iPhone 11 itakufaa ndugu mjumbemkuu ninabudget ya 700K, natafuta simu yenye quality nzuri maana nihitaji kwa ajili ya kushoot videos high quality,
Kwa uzoefu Budget hiyo simu mpya yenye kutoa HD au 1080 quality videos ni pi au version ipi ya Xiomi.
natanguliza shukrani mkuu. Hujawahi kufeli kwenye hili
Mkuu kama priority ni Video hizi midrange hazitakufaa tafuta flagship za 2020 used kwa hio bei utapata.mkuu ninabudget ya 700K, natafuta simu yenye quality nzuri maana nihitaji kwa ajili ya kushoot videos high quality,
Kwa uzoefu Budget hiyo simu mpya yenye kutoa HD au 1080 quality videos ni pi au version ipi ya Xiomi.
natanguliza shukrani mkuu. Hujawahi kufeli kwenye hili
asante mkuu.iPhone 11 itakufaa ndugu mjumbe
asante mkuuMkuu kama priority ni Video hizi midrange hazitakufaa tafuta flagship za 2020 used kwa hio bei utapata.
S20 series, iphone 11, kama ni Xiaomi ziwe Mi 10 na sio hizi redmi,
iPhone 11 itakufaa ndugu mjumbe
nimezingatia maelezo mkuu.11 kwa 700k unataka aje atukane iphone zote hapa ndani.ni either ina mawenge au ina hali mbaya.
kwa bajeti hiyo anakutana na pixel ya nguvu sana hata kaa ajute,hata 5 akiwa na subira anaipata.
pixel 5 na iphine 11 kwa camera,11 haikamati.