Xiaomi redmi 10c gb128 inafaa kwa matumzi ya picha

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
hii brand ya xiaomi nimeona imeanza kutrend ukiangalia hii redmi 10c ya gb 128 ina sifa nzuri lakini kwa sisi wadau amabao hatuwajawi kutumia hizi nataka kufahamu ubora wake wa camera
pamoja battery
 
Chukua Redmi note 10 ninzuri zaidi kuliko hio na bei itakua imepoa kidogo
 
Kama Camera ni priority sana huwezi pata Camera nzuri kwenye lowend. Utapata tu camera ya kawaida sana sana uweke Gcam itaongeza tu Quality kidogo.
 
mkuu ninabudget ya 700K, natafuta simu yenye quality nzuri maana nihitaji kwa ajili ya kushoot videos high quality,

Kwa uzoefu Budget hiyo simu mpya yenye kutoa HD au 1080 quality videos ni pi au version ipi ya Xiomi.

natanguliza shukrani mkuu. Hujawahi kufeli kwenye hili
 
iPhone 11 itakufaa ndugu mjumbe
 
Redmi note 10 S.
Redmi note 10 pro
Redmi note 10.

Anza na S,,
Au pro.
Ukishindwa chukuwa note 10 Plain hutojutia maamuzi yako.
 
mkuu ninabudget ya 700K, natafuta simu yenye quality nzuri maana nihitaji kwa ajili ya kushoot videos high quality,

Kwa uzoefu Budget hiyo simu mpya yenye kutoa HD au 1080 quality videos ni pi au version ipi ya Xiomi.

natanguliza shukrani mkuu. Hujawahi kufeli kwenye hili
Mkuu kama priority ni Video hizi midrange hazitakufaa tafuta flagship za 2020 used kwa hio bei utapata.

S20 series, iphone 11, kama ni Xiaomi ziwe Mi 10 na sio hizi redmi,
 
iPhone 11 itakufaa ndugu mjumbe

11 kwa 700k unataka aje atukane iphone zote hapa ndani.ni either ina mawenge au ina hali mbaya.

kwa bajeti hiyo anakutana na pixel ya nguvu sana hata kaa ajute,hata 5 akiwa na subira anaipata.
pixel 5 na iphine 11 kwa camera,11 haikamati.
 
nimezingatia maelezo mkuu.
 
Back
Top Bottom