Chukua galaxy a24, utapata zaidi ya huo ushubwada wa mchina cc Reuben ChalleWakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake gsm arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000. je ni simu gan midrange itanifaa kwa hiyo hela? naombeni ushauri.
hapana hii ametumia chip ya mediatek, na display amalode 90hz wakati redmi ni chip ya snapdragon na disp ya 120 hz amldChukua galaxy a24, utapata zaidi ya huo ushubwada wa mchina cc Reuben Challe
Ukitaka kupotea fatisha hayo mambo ya chip, nimekuja kugundua sio mediatek zote mbaya wala sd zote nzuri, hapa natumia mediatek ila nafurahia simu balaa, nshanunuaga sd ikawa inastack na kuganda mpaka nikaiuza so soma user rews hizo huwa hazidanyanyi ila specification sometime ni chumvi na gimmicshapana hii ametumia chip ya mediatek, na display amalode 90hz wakati redmi ni chip ya snapdragon na disp ya 120 hz amld
Hiyo sumsung inuzwa ngapiUkitaka kupotea fatisha hayo mambo ya chip, nimekuja kugundua sio mediatek zote mbaya wala sd zote nzuri, hapa natumia mediatek ila nafurahia simu balaa, nshanunuaga sd ikawa inastack na kuganda mpaka nikaiuza so soma user rews hizo huwa hazidanyanyi ila specification sometime ni chumvi na gimmics
450k -500kHiyo sumsung inuzwa ngapi
Mkuu kwa bajeti hiyo Redmi note 12 unanunua used au?Wakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.
Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?
Naombeni ushauri.
Kwa 420,000/= Redmi Note 12 inafaa sana na sio rahisi kupata display na SoC nzuri kwa bei hiyo hapa BongoWakuu habari,
Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.
Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?
Naombeni ushauri.
Wanalalamika mikate ghali sana bora wanunue keki🤣🤣🤣Chukua Google Pixel au iPhone kama huna hela tafuta hata Samsung ya laki 9 uchukue.
Bora alipe 450k apate A24 cha ziada atachopataKwa 420,000/= Redmi Note 12 inafaa sana na sio rahisi kupata display na SoC nzuri kwa bei hiyo hapa Bongo
Kuhusu hiyo Samsung Galaxy A24 inatumia chipset ya MediaTek Helio G99 ambayo haina utofauti mkubwa na Snapdragon 4 Gen 1 inayotumiwa na Redmi Note 12, naweza kusema in real life performance ni sawa
In short chukua Redmi Note 12 Kwa sababu Samsung Galaxy A24 inazidiwa na Redmi Note 12 kwenye vitu vingi halafu bado bei ya A24 ipo juu.
Samsung Galaxy A24 ina advantage ya kuwa na kamera bora zaidi ya Redmi Note 12 ila sasa haziuzwi bei sawa na bado Redmi Note 12 ipo vizuri kuliko hiyo A24 sehemu nyingi
Kwa 420,000 Samsung utakayopata ni Galaxy A14 5G ambayo side by side imeachwa mbali na Redmi Note 12
Kwa 420,000/= bado sijaona simu mpya ya kukushawishi usinunue Redmi Note 12
Chukua Redmi
Ukimwelekeza duka wanalouza kwa hiyo bei basi itakuwa vyema tu, Samsung Galaxy A24 ni simu nzuri ila nimeshindwa kuona ni wapi unapata kwa 450K hapa BongoBora alipe 450k apate A24 cha ziada atachopata
1. 5yrs of software support upgrade
2. Software iliyotulia isio na mashaka
3. Kamera kali
4. Many ui features
Ukimwelekeza duka wanalouza kwa hiyo bei basi itakuwa vyema tu, Samsung Galaxy A24 ni simu nzuri ila nimeshindwa kuona ni wapi unapata kwa 450K hapa Bongo
Kuhusu software MIUI 14 ipo vizuri, sio kama MIUI 11 uliyoitumia kwenye Redmi 9. Pitia hapa usome review yote ukipata muda, gsmarena wanasema MIUI 14 imeondoa Ile Chinese feel, kiufupi MIUI 14 sio kama hiyo MIUI 11 kushuka chini. Kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps nane tu, hiyo ni moja ya improvements zake
Pia kwa features nyingi MIUI 14 haina mpinzani, kwenye software support Samsung ipo vizuri kuliko Xiaomi.Xiaomi MIUI 14 (Android 13) walkthrough
We take a deep dive into MIUI 14. See what's new, what's not and what's unique. Introduction Xiaomi's proprietary MIUI software matured quite a bit...www.gsmarena.com
Binafsi ningechukua Redmi Note 12 Kwa sababu ninapenda zaidi MIUI kuliko One UI
Redmi sio google message tu hadi phone dial ni ya google imekaa kiwaki inazidiwa hadi na infinixGoogle sms apk nayo inatoka siipend
Sijajua, mimi sio fan wa caller wala messaging app so sijawahi kufikiria kutumia caller nyingineGoogle sms apk nayo inatoka siipend