Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

Redmi sio google message tu hadi phone dial ni ya google imekaa kiwaki inazidiwa hadi na infinix
At least wana simu nzuri kuliko Infinix
That's what matters, hamna maana kuwa na app yako mwenyewe ya calling halafu bado users wanalalamikia simu zako kuhusu poor call quality
Heri Google caller + Google message= High call quality
Kazi ya hizo apps ni kupiga, kupokea, kutuma na kutumiwa message. Kuna mambo ya muhimu sana kwenye simu kuliko caller na message apps
 
Caller & msg app ni mhimu kuliko unavyofikiria, ndo huchangia kukufanya ufurahie simu au uione haina maajabu na ndo app zinazotumika zaidi kuliko zingine
 
Caller & msg app ni mhimu kuliko unavyofikiria, ndo huchangia kukufanya ufurahie simu au uione haina maajabu na ndo app zinazotumika zaidi kuliko zingine
Caller kazi yake ni kupiga na kupokea
Messaging app ni kutuma na kupokea message
Nini hapo Google caller na Google SMS haiwezi kufanya? Sijui mna matumizi gani na hizo call na message app ambayo yanakosekana kwenye Google caller na message app
Google caller inatumika kwenye simu nyingi tu Xiaomi za Global version, ZTE, Google Pixel n.k sio Tecno Tu kama ambavyo huwa unasisitiza
 
Wakuu habari,

Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.

Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?

Naombeni ushauri.
Mi natumia Oppo A9-2020 tangia mwaka 2021 mpaka leo sijawah ata kupeleka kwa fundi! Iko fresh kabisa haina tabu yoyote kwakweli na game kunwa nacheza fresh tu
 
Wakuu habari,

Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.

Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?

Naombeni ushauri.
Screenshot_2023-05-18-09-07-55-79_fc704e6b13c4fb26bf5e411f75da84f2.jpg
 
Nilishaga jarib zinafel ila note 12 ile global rom ndio naivizia now itanifaa
Kama una uzoefu na AliExpress basi kuna advantage kubwa sana
AliExpress sellers wanachukua Xiaomi za Chinese version, wanaifungua box kisha wana-install Global ROM then wanaziuza sehemu mbalimbali ulimwenguni na bei zao ni rahisi sana.
Kwa hiyo unaweza kuongea na seller na kumwambia kuwa kwenye unit yako aache Chinese ROM badala ya ku-install Global ROM
Chinese ROM inakuja na application za Xiaomi wenyewe. Hivyo kama unaitaka sana MIUI dialler na message app utazipata pia.
Hata hivyo MIUI 14 China ina features nyingi kuliko MIUI 14 Global

Pia kwenye Global version ya simu yako unaweza ku-install custom ROM na ukaweka Chinese ROM hence utapata Chinese software ambayo ina hizo apps za Xiaomi.

Ingawa mimi si mzoefu kwenye mambo haya hivyo unaweza kupata more detailed informations kutoka kwa Chief-Mkwawa
Au pitia hapa How to Change From Global to China ROM on Xiaomi Devices
Screenshot_2023-05-18-12-00-17-520_com.mi.globalbrowser.jpg
 
reuben Challie so kwa mantiki yako now ni easy kudaka tu chinese version yeyote yenye miui 14 kwa kua bloatware nyingi unazitoa kawaida ikawa ni simple tu kuondoa app za kichina usizozitaka by single click tu maisha yakaenda ? Ukiwin kuiondoa default browrse yao na ile mi music si basi hapo
 
Xiaomi MIUI 14 inakuja na Chinese bloatware kama kawaida lakini habari njema ni kwamba zote zinafutika ndani ya sekunde tu
Kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro application 8 tu, Na hizi apps nane ni zile basic apps ambazo ni muhimu kuwa nazo, so kuhusu bloatware ondoa hofu, zote zinatoka (except 8 apps only)

Ila sijajua kwa nini uifute Mi Browser wakati ni bora kuliko Chrome, kwenye simu za Xiaomi hususani midrange zao, Mi Browser inaoperate kwenye refresh rate ya 90Hz hadi 120Hz ila Chrome inaoperate kwenye 60Hz refresh rate na bado Mi Browser ina built-in downloader Kwa hiyo unaweza kuitumia kudownload video za YouTube, etc. unlike Chrome

Achilia mbali kufuta apps zote kasoro 8 tu, kwenye MIUI 14, software inafanya auto-compression kwa apps zote ambazo unazitumia mara chache hivyo inasaidia kuongeza performance na ku-improve RAM management na ndio sababu MIUI 14 ni lightest MIUI yet

Kama unataka kuijua MIUI 14 vizuri pitia hapa, gsmarena wamefafanua kila kona, strengths na weakness zake. Ni vyema usome hii article kabla hujaingia MIUI 14
 
Caller & msg app ni mhimu kuliko unavyofikiria, ndo huchangia kukufanya ufurahie simu au uione haina maajabu na ndo app zinazotumika zaidi kuliko zingine
Kuhusu caller sina information ya kutosha Kwa One UI caller ila kama unaongelea Message App basi Google message app ni bora kuliko Samsung messages

1. Kwenye Google message ukienda kwenye messages zako, unaweza ku-archive message kwa ku-swipe message hiyo kwenda kushoto au kulia. Kwa kufanya simple action kama hii pekee inakuwezesha kupeleka message kwenye Archive folder.
Kwenye Samsung messages hakuna archive folder na wala haiwezi ku-swipe message kwenda kulia wala kushoto.

2. Kwenye Google Message unaweza kutuma GIFs wakati kwenye Samsung Messages hauwezi kabisa kutuma GIFs.

3. Kwenye Google Message unaweza kutuma stickers kwa kutumia keyboard yoyote, kwenye Samsung messages hauwezi mpaka u-activate Samsung keyboard ndio utatuma stickers. Shame!

4. Feature ya Spam and Block ya kwenye Google Messages ina-function vizuri kuliko kwenye Samsung messages. Google Message inadetect spam messages kirahisi kuliko Samsung messages. Hata kama ukipigiwa simu na namba ngeni, taarifa kuhusu hiyo event inaenda moja kwa moja kwenye Spam folder. Hii ni feature nzuri sana ambayo Samsung messages inakosa

5. Kuhusu suala la Notifications bado Google Messages ipo vizuri kuliko Samsung Messages. Kwa mfano ukitumiwa notification yenye code ndani yake na ile notification ika pop up juu ya display yako, Google Message inatumia mfumo wa AI kutambua code kwenye notification hiyo kwa hiyo inakuruhusu ku-copy code hiyo papo hapo bila hata kuingia kwenye app. Yaani inakuruhusu ku-copy code hiyo kupitia palepale kwenye Notification bar kwa kuigusa tu code hiyo.
Samsung messages haiwezi kufanya hii kitu. Kwenye Samsung message haitumii mfumo wa akili bandia kwa hiyo ujumbe wenye code ukiingia inapata options tatu tu Call, Mark as Read na Reply, wala hakuna option ya "Copy code"

6. Bado kwenye suala la Notifications yenye code kuna feature ambayo Google Message app anayo na ni nzuri sana ila Samsung Messages haina.
Kwenye Google Messages kuna feature ambayo inaruhusu kufuta message hizi automatically baada ya saa 24 na ni useful sana kwa sababu codes hizi hu-expire ndani ya saa 24. Samsung Messages haina feature hii.

7. Kwenye searching Google Messages inafanya kazi nzuri na ipo organised kuliko kwenye Samsung Messages.
Ukitap sehemu ya ku-search kwenye Google Messages Inakuletea row mbili; row ya kwanza ni Recent conversation ambayo inakuonesha conversation ulizofanya hivi karibuni kuanzia most recent kwenda kwenye least recent.
Row ya pili ni Categories ambayo inakukusanyia categories kwenye very organized way. Categories hizo ni Starred, Images, videos, places, na links. Hii system ya arrangement kwenye Google Messages ni nzuri kuliko kwenye Samsung Messages

Kwenye Samsung Messages kuna row mbili pia, row ya kwanza ni pictures and videos na row ya pili ni Others ambayo inaonesha other attachments. Hii arrangement ni poor ukifananisha na Google Messages

8. Google Message ipo vizuri kwenye ku-receive iPhone emoji reactions. Kwa mfano mtumiaji wa iPhone akireact kwenye message yako na emoji mbalimbali ([emoji106][emoji3][emoji81][emoji1666][emoji8], etc.) Google Message inaonesha hizi reactions papohapo kwa hiyo utaweza kuona hiyo reaction
Kwenye Samsung Messages huoni hizo emoji reaction.

9. Google Messages ina feature ya Smart Reply. Hii feature inakuonesha suggestions za kureply kwenye keyboard yako kulingana na text uliyotumiwa. Pia Google Message inajifunza tabia zako za kureply text za watu hivyo Smart reply inaweza kukusaidia ku-suggest reply based on text uliyotumiwa.
Samsung Messages haina hiyo feature ya Smart Reply.

10. Google Message ina feature ya "Message for Web" ambayo inakuwezesha kutuma na kupokea message kwenye kompyuta bila requirement nyingine yoyote
Kwenye Samsung Messages unaweza kufanya hivi pia lakini ni mpaka utumie app yao ya Samsung SideSync au Microsoft Phone link app. Wastage of time!

11. Kuhusu feature ya kwenye Samsung Messages ya kurespond kwenye message in a small pop up window huku unaendelea na shughuli nyingine imekuwa replaced na feature unique sana ya Google Messages inayoitwa text bubbles inayofanya kazi kama chat head kwenye messenger. Unique ideas is what we need

Samsung Messages App bado sana kuifikia Google Message App. Hata Samsung wenyewe wameanza kuset Google Messages kuwa default message app kwenye flagship zao na wanaipa Samsung Messages second priority. Kampuni yenyewe imeona umuhimu wa Google Message App na ukweli ni kwamba Google Message App ni application nzuri mara mia ya Samsung Message App.

Lastly naweza kusema tumia Samsung Message App kama kazi yako ni kutuma na kupokea messages tu. Ila kama unataka Message App ambayo iko matured na ina useful features nyingi basi tumia Google Message App, full stop.
 
Wakuu habari,

Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine nibaki kwenye brand ya oppo, lakini bado sijui ipi itanifaa ,au niende kwa redmi tu, bajeti yangu ni 420,000.

Je, ni simu gani midrange itanifaa kwa hiyo hela?

Naombeni ushauri.
Xiaomi note 12 ni simu nzuri Kwa bajeti Yako hiyo

Kioo chake ni AMOLED hivyo utapata display konki sana ndugu
Pili Ina Ip53 dust and resistance (inakinga uchafu na maji )

Chip yake ni snapdragon 4 generation 1 ni cheap ndogo haifai Kwa gamers ( snapdragon 490 )

Hata bado ni simu nzuri Tu unapata Kwa ka 5g chako Na pia ina desgni nzuri sana
 
Ukimwelekeza duka wanalouza kwa hiyo bei basi itakuwa vyema tu, Samsung Galaxy A24 ni simu nzuri ila nimeshindwa kuona ni wapi unapata kwa 450K hapa Bongo
Kuhusu software MIUI 14 ipo vizuri, sio kama MIUI 11 uliyoitumia kwenye Redmi 9. Pitia hapa usome review yote ukipata muda, gsmarena wanasema MIUI 14 imeondoa Ile Chinese feel, kiufupi MIUI 14 sio kama hiyo MIUI 11 kushuka chini. Kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps nane tu, hiyo ni moja ya improvements zake
Pia kwa features nyingi MIUI 14 haina mpinzani, kwenye software support Samsung ipo vizuri kuliko Xiaomi.

Binafsi ningechukua Redmi Note 12 Kwa sababu ninapenda zaidi MIUI kuliko One UI.
A24 ni Mbovu sana Kitu kikubwa ni Ile display AMOLED tofauti na hapo ni takataka

Kaachwa na note 12 Kwa Kila mpaka designi ukishika note 12 series na a 24 hapo ndo utajua simu Ipi na mfano wa simu Ipi

Inshort A24 Ni simu za mabekitatu [emoji2]
 
Xiaomi note 12 ni simu nzuri Kwa bajeti Yako hiyo

Kioo chake ni AMOLED hivyo utapata display konki sana ndugu
Pili Ina Ip53 dust and resistance (inakinga uchafu na maji )

Chip yake ni snapdragon 4 generation 1 ni cheap ndogo haifai Kwa gamers ( snapdragon 490 )

Hata bado ni simu nzuri Tu unapata Kwa ka 5g chako Na pia ina desgni nzuri sana
Sd 4 gen 1 sio weak cheap, ina nguvu nguvu kiasi, inatumia Cortex A78 ambazo zinatumika hadi simu za mamilioni.
 
Xiaomi is the best, tafuta large screen 6.7 inch hutajutia, ni solid, reliable, reasonable price, very durable, scratch free smart phone
 
Back
Top Bottom