Xiaomi vs Oppo nichukue ipi?

ngoja tu nichukue note 12
Kama unaipata around laki 4 ni simu nzuri sana mkuu, ila hakikisha sio 12 4g ama 12 4G pro zote hazina issue, hio yenye sd 4 gen 1 ndio nzuri.

Kama wadau huko juu walivyoongea weakness za simu za Xiaomi ni software yao, kama utaweza kucheza nayo kutoa toa blotware itasaidia.

Alternative za hii simu ni Samsung Galaxy A14 5G lakini version ya Exynos 1330. Sijajua Tanzania inakuja Ipi, Dimensity 700 ama hio Exynos 1330, simu hii pia ipo budget range ya 400-500K.
 
Kuhusu bloatware, kwenye MIUI 14 unaweza kutoa zote kasoro apps 8 tu, NAKAZIA
Kufuta bloatware iwe hatua ya kwanza utakaponunua simu yako
 
blaatware ni nini mkuu, naomba ufafanuzi na unafutaje
Bloatware ni zile apps ambazo zinakuwa pre-installed kwenye software ya simu. Software zenye bloatware nyingi ni One UI ya Samsung, HiOS ya Tecno, EMUI ya Huawei, MIUI ya Xiaomi n.k
Bloatware zinachukua space kubwa kwenye storage, na mara nyingi ni useless na Xiaomi amekuwa akiweka bloatware za Google, games za kitoto, browser mbili (Mi Browser na Chrome), gallery apps mbili (Mi Gallery na Google Photos), Tiktok, Snack Video, Mi Community, GetSub, Facebook n.k
Mimi natumia MIUI 12.5 ina bloatware chache kidogo na sijazifuta coz nyingi ninazitumia
Ila ni vyema kuzifuta ili kuongeza free space kwenye simu yako na jambo jema ni kwamba nyingi zinafutika

Kwenye MIUI 14 unaweza kufuta bloatware zote kasoro apps nane tu, so hakikisha unafuta bloatware
 
shukrani mkuu,kama zinafutika hii ni njema,maana kwenye hii opo ninayotumia ina appl nyingi ambazo sizitumio na hazifutiki
 
Binafsi oppo sijazielewa .yaani sina mzuka na oppo kabisa
 
Zotw mbaya tu natumia red me mbaya inacheza cheza app inajioperate yenyewe mbaya sana , bosi oppo nimbaya hizo simu acha tu.

Ila Kwa kamera ni nzuri kama upo serious Nunua iphone 8 au 10 au iphone x nzuri sana .

Samsung sio mbaya inadumu haina kipengele chochote labda ni haikai na charge
 
Mi natumia Oppo A9-2020 tangia mwaka 2021 mpaka leo sijawah ata kupeleka kwa fundi! Iko fresh kabisa haina tabu yoyote kwakweli na game kunwa nacheza fresh tu
efooball unacheza, na halistuck?
 

Sio kila Redmi ni nzuri zipo mbaya pia
Ila Redmi Note 12 ni nzuri. Sio kama hiyo unayotumia, ni vizuri kubadilisha simu kama hujaipendaPia hata Samsung mbaya zipo, usikariri. Always be specific. Na hizo iPhone X haziuzwi kwa laki 4. Soma kiasi ambacho mleta mada amekileta
 
Umeongea Tu huna hoja za msingi huwenda binti Tu wewe
 
Acha kufananisha redmi na upuuzi
 
Chukua redmi 10c na chenchi
 
Inategemea simu unafanyia kazi gani Sasa Kama unaingia jf na wasap na kupiga media tek itakufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…