Xiaomi wamezindua Gari mpya ya umeme: Xiaomi YU7 SUV

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
xiaomi-yu7-front-2.jpg

Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
xiaomi-yu7-front-1.jpg

Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
xiaomi-yu7-rear-1.jpg

Ingawa features nyingi bado hazijawekwa wazi, ila inakadiriwa itauzwa kati ya $34,000 ili ku-compete na Tesla Model Y.
 
Utakuja kuwa normal kwa tv, phone, (electronic )na software company kutengeneza magari
 
Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
View attachment 3238143
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
View attachment 3238144
Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
View attachment 3238145
Ingawa features nyingi bado hazijawekwa wazi, ila inakadiriwa itauzwa kati ya $34,000 ili ku-compete na Tesla Model Y.
Hawa ndiyo wale wanaoshirikiana na Kipanya au nachanganya mambo
 
Waarabu Keisha habari Yao na kiburi Cha hela za mafuta
 
Mchina anakuja kumtoa Toyota kwenye ulimwengu wa magari, Chinese evs ziko reliable sana hadi western wanatoa milio kaa mbwa koko akitandikwa kisawasawa
 
kwa magari ya EV toka china mm nayaelewa sana magari ya kampuni ya BYD jamaa wana design za ukweli tena magari yao makali yanavutia..kwangu mm. BYD ndo best EV in china
 
Baada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
View attachment 3238143
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
View attachment 3238144
Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
View attachment 3238145
Ingawa features nyingi bado hazijawekwa wazi, ila inakadiriwa itauzwa kati ya $34,000 ili ku-compete na Tesla Model Y.
Hizi SUV za kichina ili ubora wake ueleweke zinatakiwa zifanyiwe test africa, just like akina toyota, nissan, ford, landrover na n.k

Leta african roads halaf ipigwe kazi, ndipo itapata wateja wengi sana africa baada ya kidhibitisha reliability

Iisiishie kuwa SUV ya show room
 
kwa magari ya EV toka china mm nayaelewa sana magari ya kampuni ya BYD jamaa wana design za ukweli tena magari yao makali yanavutia..kwangu mm. BYD ndo best EV in china
Zinakuwa tested african roads kama wengine?
Reliability ikoje?

Maana muonekano uko vizuri but how about functionality? Reliability?
 
BYD wako vyema. Africa ndio mitaa yao. Kenya wapo kabisa.
 
Back
Top Bottom