Hawa ndiyo wale wanaoshirikiana na Kipanya au nachanganya mamboBaada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
View attachment 3238143
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
View attachment 3238144
Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
View attachment 3238145
Ingawa features nyingi bado hazijawekwa wazi, ila inakadiriwa itauzwa kati ya $34,000 ili ku-compete na Tesla Model Y.
Hizi SUV za kichina ili ubora wake ueleweke zinatakiwa zifanyiwe test africa, just like akina toyota, nissan, ford, landrover na n.kBaada ya kufanya vizuri kwenye sedan yao ya mwaka jana, Xiaomi wamenogewa sasa wameleta SUV.
View attachment 3238143
Xiaomi SU7 itaanza kuuzwa hivi karibuni, ikiwa na battery kubwa lente range ya hadi 760 kilometa.
View attachment 3238144
Pia itakuja na options za RWD na AWD, zikiwa na maximum speed ya 250 km/h.
View attachment 3238145
Ingawa features nyingi bado hazijawekwa wazi, ila inakadiriwa itauzwa kati ya $34,000 ili ku-compete na Tesla Model Y.
Zinakuwa tested african roads kama wengine?kwa magari ya EV toka china mm nayaelewa sana magari ya kampuni ya BYD jamaa wana design za ukweli tena magari yao makali yanavutia..kwangu mm. BYD ndo best EV in china
BYD ndiyo kampuni inayotegemewa na wachina wote pamoja na serikali yaokwa magari ya EV toka china mm nayaelewa sana magari ya kampuni ya BYD jamaa wana design za ukweli tena magari yao makali yanavutia..kwangu mm. BYD ndo best EV in china
Mil 72 MkuuAchana na ya Kipanya hamna kitu pale.