Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wapenzi wa magari especially EV na hybrid.
Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV.
Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua inspired na McLaren 720s (hii nimesema tu mimi).
Hii chuma inatumia battery iliotengenezwa na Xiaomi wenyewe wakishirikiana na wakali wa hizi mambo CATL, wanaita Kirin 2 zenye capacity hadi ya 1,330 kW, na unaweza kuichaji 0-80% kwa chini ya dakika 12.
SU7 Ultra ina Motors tatu, ambazo kwa pamoja zinatoa horsepower 1,548. Tukiongelea sasa hizi motors, mbili zinaitwa V8 motors na moja inaitwa V6.
Okay! Majina yasikuchanganye, izo V6 na V8 hazihusiani kabisa na engine za magari. Hizi motors ni electric. Haya majina tu hawa Wachina wameona wayaweke watuchanganye changanye tu, tulale na njaa. So, V6 or V8 haina mahusiano na V8 za kwenye Land cruiser au ICE yoyote.
Tuendelee.
SU7 Ultra inasemekana kua na acceleration ya 0 to 100 kph ndani ya sekunde 1.97 tu, na inafika 200 kph ndani ya sekunde 6 tu, na top speed yake ni 350 kph.
Kuhusu braking, pads zilizopo ni za racing class na zinaweza kustahimili hadi joto la 800 degreea, na ku-archieve a deceleration ya 2.36G. Kwa lugha nyepesi, kutoka 100 to 0 kph chini ya mita 25.
Tuendelee kuishuria info zake zaidi especially interior photos.