Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

Kkoo kuna simu mbona ukiweka tu kwenye charge, 30 secs imejaa 100% tena inaandika Fully Charged, na unapiga simu, alafu hujamaliza kupiga inakata.. 🤔😅 Nadhani hii inahitaji maboresho.. Ila hiyo ya 120 watts charging italipua watu ngoja tuone
 
Watts 120 zaidi ya zile bulb zenye umbo la yai mwanga wa orange watt 100, umakini muhimu watts hizo zitaua wengi hasa wanaopenda kutumia simu huku wanachaji.
Obvious, b'se ni kiwango kikubwa sana cha umeme ambacho sio salama mtu kuwa karibu nacho yena akiwa kashikilia mtambo wenyewe(simu)
 
Mmarekani kazi anayo.............Huawei anaoption nyingi sana za kuendelea kuuza simu nje sema tu hatotumia jina lake.......anahamishia mtaji tu kwa hawa wengine kazi inaendelea na uzuri wa makampuni ya china ukichimba sana unakuta karibia yote yana mkono wa CCP
 
Watts 120 zaidi ya zile bulb zenye umbo la yai mwanga wa orange watt 100, umakini muhimu watts hizo zitaua wengi hasa wanaopenda kutumia simu huku wanachaji.
No offense, unahisi hicho ulichowaza wenyewe hawajawaza?
 
L
Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 [emoji91]

Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa

Simu hiyo pia imepewa marks kubwa zaidi ya camera zake na mtandao wa DXOMARK, ikiwa na kamera inayoweza zoom 120 times (120X zoom) ikiipita Galaxy S20 Ultra iliyokuwa ikishikiria rekodi ya 100X zoom

View attachment 1534741View attachment 1534742
Ikiiiikmmtmkok
 
Back
Top Bottom