Xtrail, Forester au Outlender zote 2013

Xtrail, Forester au Outlender zote 2013

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,066
Reaction score
1,194
Naomba ushauri nataka kuchukua moja kati ya hizo sasa bado nafanya utafiti nikae wapi. Naombeni mwongozo wadau
IMG_5316.jpg

IMG_5315.jpg

IMG_5314.jpg
 
Wataalam naweza pata uchamhuzi wa kitaalam ili nijuie nachukua ipi
 

Mazda CX 5 Labda Ikiwa ya petrol, ya diesel ajiandae na maintenance za dpf na mfumo wa cooling kabla hajaharibu turbo.
Kama unataka overall reliability na usipate tabu kubwa ya maintenance nenda na
1. Xtrail - utapata comfortability na balance nzuri ya power na fuel consumption. Jiandae kuzingatia service nzuri ya gearbox na engine (oil sahihi na kwa wakati). Ikiwezekana tafuta after market transmission cooler au usiwe mtu wa kurev sana gari kama vile uko na sports car.

2. Forester - reliability, safety na space, comfortability pia si mbaya sana. Subaru zilikuwa na issue za kula oil zikishafika mileage kubwa, sina hakika sana kama issue inaathiri kila gari.

Overall ningechagua hizi mbili. Mitsubishi si maarufu sana so unaweza kupata shida ya mafundi na spare
 
Naomba ushauri nataka kuchukua moja kati ya hizo sasa bado nafanya utafiti nikae wapi. Naombeni mwongozo wadauView attachment 2831077
View attachment 2831078
View attachment 2831079
Naomba ushauri nataka kuchukua moja kati ya hizo sasa bado nafanya utafiti nikae wapi. Naombeni mwongozo wadauView attachment 2831077
View attachment 2831078
View attachment 2831079
Kati ya hizo, xtrail imekaa ki ofisa zaidi, yaani unaiona value ya money kutokea nje, xtrail t32 tena iwe black unyama sana
 
Back
Top Bottom