Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari nzuri on the load, ipo stable sana. Inamuonekano mzuri pia. Si kweli kua ni bei rahisin ni zaidi ya usd elfu 20 kwa 2013 brand. Na kwa kawaida demand determines price kwa ukweli demand ya Nissan bongo ni low na hivo price low pia.
Mkuu mimi pia nina x-trail. Kuhusu bei kuwa poa sio kweli, unless una nunua gari kuukuu, ukitaka ya bei poa hata ya USD 2000 utapata. Xtrail nzuri angalia za kuanzia mwaka 2004. Zingatia pia milleage. Ni gari imara na comfortable.Ni gari nzuri on the load, ipo stable sana. Inamuonekano mzuri pia. Si kweli kua ni bei rahisin ni zaidi ya usd elfu 20 kwa 2013 brand. Na kwa kawaida demand determines price kwa ukweli demand ya Nissan bongo ni low na hivo price low pia.