Xtrail inafaa

Xtrail inafaa

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
jamani ninampango wa kununua gari aina ya x trail

ila napata wasiwasi na bei za hizi gari zipo rahisi ukilinganisha na ukubwa na uzuri.wa hizi gari

naombeni uzuri na ubaya wa hizi gari.wapendwa
 
Ni gari nzuri on the load, ipo stable sana. Inamuonekano mzuri pia. Si kweli kua ni bei rahisin ni zaidi ya usd elfu 20 kwa 2013 brand. Na kwa kawaida demand determines price kwa ukweli demand ya Nissan bongo ni low na hivo price low pia.
 
aksante boss
 
Mkuu,
mimi nna x trail yangu nauza,gari bado nzuri kabisa,kama utahitaji ni pm
 
Spare za nissan original ni expensive na ukiweka fake inazingua tafuta toyota itafaa mi nimetumia nissan for miaka nane

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni gari nzuri on the load, ipo stable sana. Inamuonekano mzuri pia. Si kweli kua ni bei rahisin ni zaidi ya usd elfu 20 kwa 2013 brand. Na kwa kawaida demand determines price kwa ukweli demand ya Nissan bongo ni low na hivo price low pia.
Mkuu mimi pia nina x-trail. Kuhusu bei kuwa poa sio kweli, unless una nunua gari kuukuu, ukitaka ya bei poa hata ya USD 2000 utapata. Xtrail nzuri angalia za kuanzia mwaka 2004. Zingatia pia milleage. Ni gari imara na comfortable.
 
Back
Top Bottom