Xtreem fuel treatment

Xtreem fuel treatment

PETEROPTIMIST

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
80
Reaction score
17
xtreem fuel treatment ni bidhaa itengenezwayo na kampuni ya wa marekani iitwayo SYNTEK GLOBAL

Na bidhaa hii hutumika kusafisha mafuta kwenye vyombo vyote vitumiavyo petrol au diesel kama GARI,PIKIPIKI,GENERATORS,MELI,TRENI, NA MITAMBO YA MIGODINI na pia hutumika kama kilainishi(lubricant) kwenye chombo chako

KAZI KUU YA MAFUTA HAYA NI KUSAFISHA MAFUTA UTUMIAYO (PETROL AU DIESEL)

FAIDA UTAZOPATA BAADA YA KUTUMIA BIDHAA HII.

1: chombo chako kitapunguza ulaji wa mafuta
2😛ia kufanya engine ya chombo chako kudumu kwa muda mrefu bila kuchoka
3: kuiongezea engine ufanisi wa ufanyaji kazi
4: pia kupunguza uchafuzi wa mazingira kwa chombo chako kutotoa moshi.

kwa sasa napatikana mwanza lakini ukiwa popote tanzania waweza pata bidhaa hii.
kwa mawasiliano tupigie kupitia no
0768732909
0653732908
email: peternsarodamasi@gmail.com
 
Back
Top Bottom