Ya Feisal na busara za aliowadharau

Ya Feisal na busara za aliowadharau

Kwani lazima kua na mausiano mazuri na Yanga
 
Onyango ana elimu gani kuubwa ya kumfanya aone Mambo Kwa jicho nyoofu? Alipoona anawekwa benchi na inatishia kiwango chake akachukua hatua sitahiki. Mashabiki uchwara walioko JF ndio washauri wa Feisal wanaomjaza maneno eti Yanga Wana roho mbaya. Hata Msomi wa sheria kiwango cha cheti hawezi kumshauri mfanyakazi aache kazi Kwa effective cause Kwa kupeleka mshahara wa mwezi mmoja kwenye akaunti ya mwajiri halafu yeye analala mbele. Mkataba wa kazi ni wa pande mbili na unatakiwa uzibebe pande zote. Unapoacha kazi lazima umpe mwajiri wako kupata mbadala wako, vinginevyo unajidanganya na utashitakiwa Kwa utoro kazini.
Onyango ni Mkenya, siyo mzawa, halafu ni mtu mzima anajielewa.
 
Sasa kama mnalijua hilo,kwanini mnatumia nguvu kubwa kutaka kumharibia Career yake?
Yanga wanapambania haki yao....ujue mazingira Kama haya yatatoa taswira ya baadae na wengine waige kwa feisal.....ikiwa feisal ataachiwa kirahisi Kama mnavyotaka atakuja mwingine atatumia mwanya huo...kiufupi hapa feisal kakosea lzm aadabishwe ili wengine wasiige uhuni huu.....na pia hata cas hawatampa ushindi feisal maana wachezaji watavunja mikataba Kila kukicha wakitumia reference ya kesi ya Fei.........hapa klabu zitakosa meno ya kuwazuia wachezaji kuvunja mikataba kienyeji......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama mnalijua hilo,kwanini mnatumia nguvu kubwa kutaka kumharibia Career yake?
Anayemharibia hiyo career yake, ni yule aliyemjaza upepo, na kumpa hela za kuuvunja huo mkataba wake, kinyume na utaritibu.

Mlifanikiwa kwa Morrison. Safari hii mmekwaa kisiki.
 
Mashabiki wengi wa yanga ni hamnazo feisal alisema kwa sasa hivi hawezi kuliongelea ilo swala mpaka lipate ufafanuzi ila siku feisal akija kuongea kuhusu hilo swala ndio utakuja kujua feisal amefanyiwa unyama na yanga aliyoahidiwa hayajatimizwa kwenye mkataba uliopita.
 
Back
Top Bottom