Ya Kabendera Aman upendo tukielekea mwaka Mpya, tusihukumu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi.

Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea.

Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu wanavyodhani, CCM inaweza gawanyika mara mbili na haitagawanyika kwenye uchaguzi Kama maigizo ya Lowassa na Ukamanda bali kuna kiongozi wetu mpendwa akisha pumzika Kwa wafalme waliotangulia kuna watakao hoji Kwanini kaondoka mapema , ichunguzwe hii ooo hatukubali, hao ndo wataunda Chama Kipya na usishangae kikaotwa John the Baptist.

Kwa hali yeyote ile walio ndani ya circle ya pale Nyumba nyeupe wanajua ventilation system ina matatizo hivo Kwa afya mgogoro kuna kugogoroka na wakasingiziwa watu onhoo na sisi ukanda huu tulivyo wabishi tutadhani kuna namna, hivyo naomba tujenge amani na umoja nbadala ya chuki, chuki ndo itaivunja CCM hasa kwenye visasi.

Tumeona akina Kabendera wakiteseka Tukadhani yanaishia hapo sasa yanaingia kwa chama, namkumbuka mzee Shinani Kabendera yule mwenye asili ya majirani zetu tusiopenda kuwataja nakumbuka alivyosongwa songwa mpaka akapaki gari lake aina ya hilux na kujitupa ziwani, Tusitake familia za watu hadi waanze kutoweka Kwa mawazo wakati sisi hatutakaa milele.

Nyingine sasa Rafiki yangu wa karibu aliyenipeleka pale UVCCM room namba 11 floor ya 5 wanapotesea watu aliniambia mambo kadhaa ambayo yalinichanganya akili, MENGINE ITABAKI KUWA SIRI YANGU NA SITAISEMA POPOTE PALE MAISHANI , NARUDIA SITAISEMA , NI VIGUMU RAIS KWENDA MBINGUNI

Kuna Jingine kwamba ati Bernard Membe hatakiwi ndani ya CCM na lazima afukuzwe, japo kuna Mgawanyiko ndani kwa ndani

Membe tunajua fika amesubiri hilo Agombee kupitia Chadema Lakin kuna Msaidizi wake wa karibu anasema ataenda ACT wazalendo maana CHADEMA wana mtu tayari na si mbowe ni Lissu .

Wakati hayo yakisukwa Magufuli anaogopa sana vijana aliowatupa nje akijikosha kurudisha baadhi ila anawalia timing
Kati na Nape au Makamba kuna mmoja anarejeshwa soon kwenye baraza la mawaziri

Wakati majimbo manne yakisukiwa watu maalumu
Moja Arusha mjini kuna kijana Machachari atasimama pale licha ya kina Gambo kujitapa, ila hao hamna kitu

Kuna Kawe kwa Halima Mdee anasimama Gwajima wa kanisa lake mtanishangaa mnadhani kwamba Gwajima siyo CCM. eti amkabili Mdee

CCM kaeni mkao wa Kula watapitishwa ambao hawana vigezo mnavyotaka bali anavyotaka mwenyekiti na Nimeambiwa na mzee wangu Kabisa wa ndani kwamba kuna watu wamewekewa Tego wajichanganye wapigwe chini Mtoto Pendwa wa hapo Washington ya tz ataambiwa akagombee mkoani Alafu apigwe chini na asipewe hata kufunga Uzi za viatu tena !

Britannica
 
Nilijitahid sana kutoandika siasa lakini Imenibidi
Tulimhukumu sana Kikwete kuwa na mchezo mchafu wa kukata na kuendesha chama Vibaya kumbe tulikosea,

Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu wanavyodhani, CCM inaweza gawanyika mara mbili na haitagawanyika kwenye uchaguzi Kama maigizo ya Lowassa na Ukamanda bali kuna kiongozi wetu mpendwa akisha pumzika Kwa wafalme waliotangulia kuna watakao hoji Kwanini kaondoka mapema , ichunguzwe hii ooo hatukubali, hao ndo wataunda Chama Kipya na usishangae kikaotwa John the Baptist !!! Kwa hali yeyote ile walio ndani ya circle ya pale Nyumba nyeupe wanajua ventilation system ina matatizo hivo Kwa afya mgogoro kuna kugogoroka na wakasingiziwa watu onhoo na sisi ukanda huu tulivyo wabishi tutadhani kuna namna, hivyo naomba tujenge amani na umoja nbadala ya chuki, chuki ndo itaivunja CCM hasa kwenye visasi,

Ninyi watu uzi wa 2019???????????? Uliwekwa kapuni na kuachiwa leo au ila msemage machache mtashindwa kujibu mengine
 
Yapi hayo !!!!??
Nyingine sasa Rafiki yangu wa karibu aliyenipeleka pale UVCCM room namba 11 floor ya 5 wanapotesea watu aliniambia mambo kadhaa ambayo yalinichanganya akili, MENGINE ITABAKI KUWA SIRI YANGU NA SITAISEMA POPOTE PALE MAISHANI , NARUDIA SITAISEMA , NI VIGUMU RAIS KWENDA MBINGUNI

Kumekucha
Mwaka ujao ni wa Uchaguzi tutashuhudia mpasuko Mkubwa wa CCM hata kama watashinda lakin si kwa kishindo, na mpasuko huo ni mkubwa kuliko watu wanavyodhani, CCM inaweza gawanyika mara mbili na haitagawanyika kwenye uchaguzi Kama maigizo ya Lowassa na Ukamanda bali kuna kiongozi wetu mpendwa akisha pumzika Kwa wafalme waliotangulia kuna watakao hoji Kwanini kaondoka mapema , ichunguzwe hii ooo hatukubali, hao ndo wataunda Chama Kipya na usishangae kikaotwa John the Baptist !!! Kwa hali yeyote ile walio ndani ya circle ya pale Nyumba nyeupe wanajua ventilation system ina matatizo hivo Kwa afya mgogoro kuna kugogoroka na wakasingiziwa watu onhoo na sisi ukanda huu tulivyo wabishi tutadhani kuna namna, hivyo naomba tujenge amani na umoja nbadala ya chuki, chuki ndo itaivunja CCM hasa kwenye visasi,
 
Ni kama utabiri ila mkuu uliandika ukweli wenyewe. Watu mna macho ya rohoni sana
 
Back
Top Bottom