Ya kale dhahabu

Mzee wa old school

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
873
Reaction score
1,405
Habari zenu wakuu, hivi zile simu za zamani bado zipo madukani kweli? kama zipo kwa dar zipo maeneo gani? na pia bado wanazalisha au ndio viwanda vimekufa kabisa?

kama kuna mtu anafahamu tafadhari aeleze duka gani ili nikavamie

nilijaribu kuagiza online, lakini mara nyingi vibovu vinakuja na kasoro pia havidumu sana, nikikaa navyo sanaa, mwezi au miezi mitatu minne vinasumbua

simu hizo kama Nokia, sony ericson, lg, sumsung siemense nk
nimeambatanisha na picha,

nawasilisha,,,,,,





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…