Hakuna ishu imewahi kudumu hadi tamati Tz, huwa mambo kibao yanalipuka watu wanashikia mabango na baada ya siku kadhaa inapotea kama pepo za monsoon
Akati ishu ya kapuya ipo hot niliwaambia watu hii ishu itapotea sio muda, kidogo watu wanipige mawe wakidai lazima haki itendeke na hata maandamo ikibidi kama mkono wa sheria ungechelewa kufanya yake. Wako wapi?!
Sahizi kuna swala la bei ya umeme kupanda watu wanapiga kelele wenye nchi tunakula mema ya nchi tu tunajua ni mitanzania ile ile inayopiga kelele siku2 na kusahau, bei haipungui na in time tutapandisha zaidi