Ya Kapuya ndio imeenda na puya?

Ya Kapuya ndio imeenda na puya?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Dah,

ama kweli news is seven dayz wonder, ile story ya Kapuya ndio imetupwa kapuni?
 
Hakuna ishu imewahi kudumu hadi tamati Tz, huwa mambo kibao yanalipuka watu wanashikia mabango na baada ya siku kadhaa inapotea kama pepo za monsoon

Akati ishu ya kapuya ipo hot niliwaambia watu hii ishu itapotea sio muda, kidogo watu wanipige mawe wakidai lazima haki itendeke na hata maandamo ikibidi kama mkono wa sheria ungechelewa kufanya yake. Wako wapi?!

Sahizi kuna swala la bei ya umeme kupanda watu wanapiga kelele wenye nchi tunakula mema ya nchi tu tunajua ni mitanzania ile ile inayopiga kelele siku2 na kusahau, bei haipungui na in time tutapandisha zaidi
 
swala ya kapuya aliyekali shauri lisiende mahakamani ni police makao kwa dci kwa kisingizio wanasubiri taarifa kutoka makapuni ya mawasiliano na hatimaye kapuya akaenda akawafunguliwa watoto wale kesi ya kasfa mahakama kuu na kuwadai bilioni 15 kesi imepangiwa jaji john utamwa tarehe 21/3/2014 huku tamwa na haki za binadamu wakijitoa baada ya kuongwa na akafungua kesi nyingine kwa jaji kaduri kuishitaki gazeti ya tanzania daima kesi ya kashfa huko pia anadai bilion 150 hii ni mbinu chafu ya kuzuia asiperekwe mahakamani kwa makosa yake ya jinai pia ni hatari kwa mahakama kuu kushirikishwa vitendo vya ukikwaji wa sheria ili alindwa na mahakama kuu tulikofika sheria imekosa uhalali wa kuendelea kutumika na vyombo vya kusimamia sheria zimekosa sifa hivyo wanyonge awana haki tena mbele ya vyombo vya sheria ni wanyonge waungane pamoja kudai haki zao mbele ya vyombo vinavyo simamia kwani katika malalamiko ya msingi 1.ubakaji 2.kuambukizwa ugonjwa kwa makusudi 3.kutishia kuuwa na vielelezo walizokuwa nao inatosh
 
Hata yote watanzania mmejitakia wenyewe kuing'ng'ania CCM.
 
Haya yote watanzania mmejitakia wenyewe kuing'ng'ania CCM.
 
nimeamini ni rahisi sana kuwa Rais nji hii
Hakuna ishu imewahi kudumu hadi tamati Tz, huwa mambo kibao yanalipuka watu wanashikia mabango na baada ya siku kadhaa inapotea kama pepo za monsoon

Akati ishu ya kapuya ipo hot niliwaambia watu hii ishu itapotea sio muda, kidogo watu wanipige mawe wakidai lazima haki itendeke na hata maandamo ikibidi kama mkono wa sheria ungechelewa kufanya yake. Wako wapi?!

Sahizi kuna swala la bei ya umeme kupanda watu wanapiga kelele wenye nchi tunakula mema ya nchi tu tunajua ni mitanzania ile ile inayopiga kelele siku2 na kusahau, bei haipungui na in time tutapandisha zaidi
 
Chezea mnyamwezi atakusachi mpaka kwa chupi..! na bado na huyo ndo pm
 
Back
Top Bottom