Ya Kassim Majaliwa, Veta na Making Kayumba Schools Great Again

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa.

Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo pesa mnayo tupa huko Ems nunueni property zisizo hamishika kwa faida yenu na watoto wenu.

Watanzania masikini: Tafuta hela mkuu.

Likud : 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

A few hours later :

Waziri Mkuu : Graduates wa Tanzania nendeni mkasome Veta mpate ujuzi wa kujiajiri..

Moral of the story: Always pay attention to what Likud is telling you.
 
Tukiwatoa huko tutasemwa sana. Usipowasomesha Ems pia mtaani watakuonea wivu wakijua una akiba nyingi ya hela.
 
Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa.

Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo pesa mnayo tupa huko Ems nunueni property zisizo hamishika kwa faida yenu na watoto wenu.

Watanzania masikini: Tafuta hela mkuu.

Likud : 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

A few hours later :

Waziri Mkuu : Graduates wa Tanzania nendeni mkasome Veta mpate ujuzi wa kujiajiri..

Moral of the story: Always pay attention to what Likud is telling you.
LIKUD unajipakulia minyama😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom