Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
wenzio wanagombana na wifey wewe na bosi tena? au my wife wako naye addicted?ngoma itakuwa droo.Dah tuliokua addicted na football inabidi tuchukue likizo mapema other wise ni kugombana tu na bosi!! 2010 Can't wait!!
Heheheheheeee.Kazi ipo,kumbe Mariarosa kawakumba wengi kweli,nilizani biggy wako anatania.
thank god, loneliness knows me by name.........
vise versa is true!! Chawote wanampango wa kuweka Big Screen!!Mila zitaacha kudumishwa.Mpira na valuu huwa haziendani kabisaaaa.Chawote watapumzika.
Mila zitaacha kudumishwa.Mpira na valuu huwa haziendani kabisaaaa.Chawote watapumzika.
itabidi uvumilie tuu its one month onlyyeah, wengine sie hatuna interest!
vise versa is true!! Chawote wanampango wa kuweka Big Screen!!
ha ha ha familia yote ni football.......wenzio wanagombana na wifey wewe na bosi tena? au my wife wako naye addicted?ngoma itakuwa droo.
Haya mama ,i'll come for consultation.Don wore about tuition fee,Biggy wako atado ze nidfull.kwa maria roza mi siendagi biggy ananichimbaga mikwara bana afu uanjua kuangalia mabo yale na bro hailipi kabisa sio heshima
hii ni self learning mamaaa!!! trust me hahaaaa lol!!!
all in all Bala mpira utaangalia nyumbani tu laaziz........
Haya mama ,i'll come for consultation.Don wore about tuition fee,Biggy wako atado ze nidfull.
btw ngoja turudi kwenye mada.Itabidi ununue big screen uweke nyumbani na akina fidel and company wote waje hapo kumpa kampani B aiende chawote.
Una bahati sana.wengine sie itabidi tununue TV nyingine kuepuka mgongano wa maslahi.Wengine wanapenda Tamthilia na wengine wanataka Mpira.sasa sikilizia kashehe yake kwenye TV moja.ha ha ha familia yote ni football.......
Hii kitu ngumu kuhakikisha isipokuwa kwa neema ya Mungu.Itabidi uwazoee jinsi walivyo.mmh wahamishie valuu nyumbani kwetu??
plasma tv ipo ila kuwaalika biggy and kamapani unless umenihakikishia u-sober wao!!!
you better. bila hivo ndani mtakua mnanuniana kila siku bila sababu.Una bahati sana.wengine sie itabidi tununue TV nyingine kuepuka mgongano wa maslahi.Wengine wanapenda Tamthilia na wengine wanataka Mpira.sasa sikilizia kashehe yake kwenye TV moja.
Jayfour usiwatie wasiwasi wenzako... hizo kona akitaka kwenda ataenda tuu hata kama hakuna mechi... au ataenda hata mchana sio lazima usiku...Ha ha ha haaa, hiyo ndiyo real tension ya world cup tuombe salama na ndoa zetu. Wengine ndio naenda kuangalia na washkaji mechi ya usiku kumbe ndio kona kali!!
Na kunyimana.Teh teh!you better. bila hivo ndani mtakua mnanuniana kila siku bila sababu.