Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mie nalipenda lile tangazo la henikken tu; yaani nitafuatialia haya matangazo tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha mi lile la Roger milla la Coke!! kuna kachina/kajapan kale kananifurahisha shangilia yake...Mie nalipenda lile tangazo la henikken tu; yaani nitafuatialia haya matangazo tuu
hii kweli aisee, yale madude ni very addictive, thank God siku hizi nimekombolewa kutoka kwenye utumwa ule, i mean i can decide to watch or not to. but before it was a must aisee, yani hata kama nina nite out naweza kutoka mkuku mida ile ikifika.Afadhali wengine loneliness inakuwepo mwezi mmoja tu wa world cup. Kuna wenzenu wake zao ni addicts wa yale maigizo mlolongo yasiyoisha ya kwenye luninga, wenyewe wanaita series, wanafuatilia hadi series 4 kila siku! Kuna mshkaji kaniambia amefanikiwa ku-date nyumba ndogo 3 kwa mpigo, na mawasiliano yote alikuwa anayafanya katika muda ule ule ambao mkewe yuko bize na 'series' au 'soap opera' zake!
hii kweli aisee, yale madude ni very addictive, thank God siku hizi nimekombolewa kutoka kwenye utumwa ule, i mean i can decide to watch or not to. but before it was a must aisee, yani hata kama nina nite out naweza kutoka mkuku mida ile ikifika.