sehemu kilipojengwa kituo cha mafuta cha BIg Bon Mori Sinza na eneo la nyuma ya kituo hicho ambako kunaporomoshwa ghorofa la kufa mtu vyote mali ya Big Bonwakuu nalazimika kupongeza hatua ya awali ya lukuvi kuhusu open spaces [dar es salaam].... pia napongeza sana hatua ya kusimamisha baadhi ya watendaji
sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa open spaces na maeneo yoyote yanayomilikiwa isivyo halali
Mwenge kijijini ---- hali ni mbaya