TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
wakuu nalazimika kupongeza hatua ya awali ya lukuvi kuhusu open spaces [dar es salaam].... pia napongeza sana hatua ya kusimamisha baadhi ya watendaji
sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa open spaces na maeneo yoyote yanayomilikiwa isivyo halali
Mwenge kijijini ---- hali ni mbaya
sasa ni wakati wetu kutoa uthibitisho wa open spaces na maeneo yoyote yanayomilikiwa isivyo halali
Mwenge kijijini ---- hali ni mbaya