GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtu Kati Mambo anayokataa yesuHainingii akilini why yanga walimrudisha morison an kumsajili manara baada ya kuwatukana sana wakiwa simba
Kumbe haya ndio matusi yenyewe. Ifike mahali muache mpira uchezwe uwanjani hizi figisu nyingine nje ya uwanja haziwafikishi popote."Wachezaji wa Yanga SC Kiungo Khalid Aucho na Mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa Mazoezini Kambini Kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana Akili na Morrison nae akimwambia Aucho Kubwa Jinga"
Tembelea Taarifa hii kutoka Mtandao wa Sports Arena ila ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi Kujibu kuwa Kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga Mkono.
Hakuna binadamu watakaa pamoja wapatane Daima bila kukosana. Hata wewe na Shemeji yangu hapo Mlimani mnagimbana japo mkitoka nje mnatuficha."Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
Hiyo ni tafakuri yako tu, duniani kote tunafanyaga hivo ukiona mpinzani anakusumbua mnyamazishe kwa njia yoyote ikiwemo ya kumnunua [emoji106]Kila ukitafakari ni kwanini Yanga walimchukua Manara na kumrudisha Morrison, unaona kabisa nchi yetu tatizo la ujinga ni kubwa sana.
Morrison alikua anaisumbuaje Yanga?Hiyo ni tafakuri yako tu, duniani kote tunafanyaga hivo ukiona mpinzani anakusumbua mnyamazishe kwa njia yoyote ikiwemo ya kumnunua [emoji106]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Habari ni nyie kuendlea kukalia mwiko huko nyumaYaani wachezaji kutukanana nayo ni habari?
Sawa tangulia kituo cha polisi ukaripoti sisi atuna msaada wa kukusaidia"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.