Ya Makocha Nabi na Kaze 'Kutukanana' mlibisha haya Kanusheni sasa na la Aucho na Morrison kutukanana jana mazoezini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."

Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
 
"Wachezaji wa Yanga SC Kiungo Khalid Aucho na Mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa Mazoezini Kambini Kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana Akili na Morrison nae akimwambia Aucho Kubwa Jinga"

Tembelea Taarifa hii kutoka Mtandao wa Sports Arena ila ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi Kujibu kuwa Kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga Mkono.
Kumbe haya ndio matusi yenyewe. Ifike mahali muache mpira uchezwe uwanjani hizi figisu nyingine nje ya uwanja haziwafikishi popote.
 
"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."

Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
Hakuna binadamu watakaa pamoja wapatane Daima bila kukosana. Hata wewe na Shemeji yangu hapo Mlimani mnagimbana japo mkitoka nje mnatuficha.
 
Kama Baba na mtoto wanakosana, mke na mme wanakosana, ajabu ni nini wafanyakazi kwenye taasisi moja kuwa na mgogoro?.

Hebu tuwe siriasi na vitu vyenye tija kwenye mpira kuliko huu upuuzi. Kama wewe tu una mgogoro wa nafsi na bidada Babra hata amabaye hujawahi ishi nae ijekuwa wanaoshinda pamoja!.
 
AUCHO a.k.a Kubwa JINGA, Ngoja nimpenyezee Mpenja😂😂😂
 
"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."

Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
Sawa tangulia kituo cha polisi ukaripoti sisi atuna msaada wa kukusaidia
 
Back
Top Bottom