Jamaa yangu GENTAMYCINE, hivi ni kwa nini unapenda sana kila mtu akuone humu jukwaani kuwa wewe ni popoma mbobevu?"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
Dah! hivi unatumia bangi gani!? yaani acha tu ....."Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
inawezekana lakini ni mambo ya kawaida sana watu kupishana kauli hata kupelekea kutukanana!hakuna jambo jipya au la kushangaza!wachezaji wanatukanana uwanjani sembuse kambini!"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.
Morrison ameenda kwenye timu inayofanania akili yake"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.