Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jamaa yangu GENTAMYCINE, hivi ni kwa nini unapenda sana kila mtu akuone humu jukwaani kuwa wewe ni popoma mbobevu?"Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga."
Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza mimi GENTAMYCINE hapa namuunga nani mkono wala sichelewi kujibu kuwa, kiungo Khalid Aucho yuko sahihi 100% na namuunga mkono.