jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Tunajitambua kuliko unavyofikiri, chadema ina jua kunusa hatari pengine kuliko hata nyinyiemYooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Upp sahihi kbx, umeliona hloYooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na Chadema kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Upp sahihi kbx, umeliona hlo
Na chaka watakaloingia chadema n kuungana na act,
Chadema ipo mbioni kuungana na ACT kumng'oa nyoka uchaguzi mkuu Oktoba 2020
Wewe ni msemaji wa chadema?Chadema haiko tayari kurudia seke seke lile la Lowassa