Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Hata YANGA leo walijua wangepata ushindi mzito sana lakini kilichowakuta kila mtu anajua, pia haitakuwa ajabu kwa kipigo kama hiki kuwashukia Chadema hapo October
 
Kwahiyo nyie kila kinachofanywa lengo ni kuwaua. Wakuu amkeni acheni kulia lia ka watoto wa kambo
 
Ni kweli Zito anampango kabambe wa kuiuwa cdm.cdm isikubali kamwe kuungana na act.
kila mtu ashinde mechi zake.
 
Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Una mawazo ya kisavimbi kama jina lako lilivyo. Jamaa baada ya jeshi lake kusambaratishwa, badala ya kujisalimisha akaendelea kupambana msituni mpaka akauawa kama mbwa koko.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
CCM chama dola wameshindwa na mapolisi wao pamoja na watu wasiojulikana wanaufyata wakiisikia CHADEMA itakuwa ni hao wakimbizi wa vyama vyao? .
 
Chadema mnalaumu nini?Adui mkubwa wa Upinzani ni Chadema (Mbowe),kwa sasa hakuna chama cha upinzani kingependa kuungana na Chadema,mwaka 2015 NCCR na CUF viliungana na Chgadema (UKAWA)kwa waliofatilia nini kilichotokea kwa hivo vyama?safari hii kila chama kimeona kipambane kivyake,kwa sababu kila chama kinataka kujijenga,mfano ACT ni chama kichanga kwa kumpata Membe na Marim Seif huoni kama kwao itakuwa faida kwa maana ya kupata wabunge wengi?

Sent from my B-TOUCH10 using JamiiForums mobile app
 
Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Chadema inaenda kuchukua nchi. Amini maneno yangu. October serikali inaenda kuwa chini ya Chadema
 
Chadema haiwezi kufa kwa style hii hata siku moja mkuu,imepitia kwenye nyakati ngumu na ikavuka....Mwaka huu CDM itapata wabunge wa kutosha sana!!
Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Propaganda mfu hizi.

Mwenye hofu ya kifo pekee hapo ni hicho chama kinachokufanya utowe hewa chafu hapa.

Yeyote kati ya CHADEMA au/na ACT wakifanikiwa kuifanya kazi hiyo kwa pamoja au kwa pekee, itakuwa ni neema kubwa kwa nchi yetu.
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Hapa ndipo CHADEMA wanapokosea. Waneni hunena IT IS NOT ALWAYS ABOUT YOU. Ukishindwa kupambana na dhana hii utajikuta hata ukiwa unapita barabarani kisha watu wakacheka utadhani wanakucheka wewe.

Hivi kwa kitu gani hasa special walichonacho CHADEMA ili iandaliwe mikakati ya kuwawa?
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Ila CHADEMA muache kulalamika jamani, nyie mkifanya sawa wengine wakifanya wanataka CHADEMA ife. Je vipi mlipomchukua lowassa?
 
CDM ni chama cha kitaifa...hakiwezi Kifa kijinga..
Ukitaka kuhakikisha kauli yangu nenda Lumumba kawaulize.....

Unazuia chama cha siasa miaka 5 kisifanye siasa, bado unasita na kufikiri labda uzuie mikutano ya kampeni pia kwa sababu ya
Corona.. unaona aibu...

mziki ni mnene!!
 
Chadema yenyewe iko ovyo acha ife tu Ivi nyie ni wakuwaachia mamluki Chama waendeshe kampeni katika high position vile za Urais yani sumaye na Lowasa mlichemka sana na hio dhambi inawatafuna mpaka mfanye changes za Chair wenu huyo imetoka hio Mmempa Mashinji na Mnyika utendaji mkuu yani watu waliokuwa na skendo za kutaka kuhama ndio mnawapa Nafasi za juu
 
Back
Top Bottom