abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Lakini ndo huyo huyo molinga pamoja na ubovu alionao ndo anawanuru na vipigo.. tofauti na yule jamaa yenu mnaenyenyekea!Moringa ni kweli ndie mfungaji Bora kwasasa pale Yanga Ila uwezo wake hauendani na ukubwa wa timu. Moringa ni mzito, yeye na washambuliji wenzake ni wabovu kwelikweli. Sijawahi kuiona Yanga yenye washambuliaji butu kiasi hiki.
Ndio tunajua but kwann eshima apewe yule mbuz kengeDavid Molinga ni mfalme mwenye chongo kwenye nchi ya vipofu!
If you know you know!
Sasa morison ni mchezaji katika wachezaji?Usimlinganishe Morrison na watu wakipuuzi wewe... Molinga bwege tu amepata upendeleo wa kucheza kila mechi lakini hamna mtu pale.
Siku akija Simba utaendelea kumponda?Sasa morison ni mchezaji katika wachezaji?
Morrison hanyenyekewi Yanga si unaona amelimwa faini na hachezi? Pamoja na hilo usemalo huwezi linganisha uwezo wa molinga na Morrison hata kidogo labda kama ana kukera kwa lile free kick la tarehe 8 March!Lakini ndo huyo huyo molinga pamoja na ubovu alionao ndo anawanuru na vipigo.. tofauti na yule jamaa yenu mnaenyenyekea!
Simba hawana mchezaji kama yule,Hata manara alisema hilo.Morison anajua kucheza na majukwaa.
Ukitaka kuwateka wabongo wewe kuwa na mbwembwe zisizo na faida kwa team na uifunge simba basi. Morison kuifunga simba ndicho hicho kinamfanya awe juu pale vyurani.
Mavi yatakutoka mwaka huu.Molinga ana vitu vingi,control nzuri pia anapiga faulo vizuri huwezi kumlinganisha na yule babu Kagere anayefunga magoli ya penalty na offside
Tunarudi pale pale... huyo jamaa mnamrusha sana ndo mana anawaona mandondocha, suala kufungwa hata mwadui wametufunga tena magoli mazuri..Morrison hanyenyekewi Yanga si unaona amelimwa faini na hachezi? Pamoja na hilo usemalo huwezi linganisha uwezo wa molinga na Morrison hata kidogo labda kama ana kukera kwa lile free kick la tarehe 8 March!
Molinga ana vitu vingi,control nzuri pia anapiga faulo vizuri huwezi kumlinganisha na yule babu Kagere anayefunga magoli ya penalty na offside