abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Kusema kweli sisi mashabiki wa Yanga tumekua wanafki sana mpaka inafika hatua unafiki wetu unatugeukia.
Nashindwa kuelewa kwanini tunampa heshima Morison asiyostahil na kumdharau Molinga ambae ndiye top scorer wa team?
Morison anajionea keki kwa mpira asioujua.