Ya Moto Moto: Clatous Chota Chama aongeza Mkataba na Simba SC kwa Miaka mingine Mitatu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yanga SC labda mkamsajili Chama wa Tandale kwani inasemekana hapo pia kuna Njemba moja nayo inajiita Clatous Tandale Chama. Mmeumbuka!

Taarifa: ShaffihDauda na Mwanaspoti
 
Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
 
Utakuwa utopolo wewe,unaonekana unaumia sana!

Sie wenye Simba mbona raha tu.Makocha wapo wengi sana na wazuri kuliko huyo Sven.
Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
 
Yanga SC labda mkamsajili Chama wa Tandale kwani inasemekana hapo pia kuna Njemba moja nayo inajiita Clatous Tandale Chama. Mmeumbuka!

Taarifa: ShaffihDauda na Mwanaspoti
Mbona ameongeza mkataba tangu tar 5 oct 2020
Sema leo zimeachiwa picha
 
Yanga SC labda mkamsajili Chama wa Tandale kwani inasemekana hapo pia kuna Njemba moja nayo inajiita Clatous Tandale Chama. Mmeumbuka!

Taarifa: ShaffihDauda na Mwanaspoti
Kwa hiyo mlikuwa mnasikilizia muingie kwenye makundi. Au baada ya kupata pesa ya kuingia kwenye makundi
 
Kwahiyo Mudi Aliwadanganya Wamatopeni Kwa Media?
Suala la usajiri ni vita, we unataka ukweli wote uwe unasemwa kila wakati?

Imagine Mo angesema wakati ule Chama hajaongeza mkataba,unadhani ni vilabu vingapi vya ndani na nje ya nchi vingeanza vurugu zao kutafuta saini yake?

Hata mimi huwa nadanganya sana pale inapobidi.Najua hata wewe huwa unadanganya sana pia ili mipango yako iende sawia bila usumbufu.
 
Kwahiyo Mudi mwanzo aliposema kampa mkataba wa miaka miwili alikua anadanganya.
Uongo ndio mashine kuu ya kukngoza hapa Bongo, mambo ambayo hutasikia na kama ukisikia ni ya uongo ni pamoja umri wa mkataba na dau la usajili wa mchezaji.
 
Yanga hawakuwa na lengo la kumsajili triple C msiwaelewe vibaya wao lengo lao ni kusajili chama cha kisiasa yaani "chama cha wananchi Tanzania" sio chama mchezaji.[emoji28]
 
Mudi mswahili sana
Uongo ndio mashine kuu ya kukngoza hapa Bongo, mambo ambayo hutasikia na kama ukisikia ni ya uongo ni pamoja umri wa mkataba na dau la usajili wa mchezaji.
 
Kwahiyo Mudi mwanzo aliposema kampa mkataba wa miaka miwili alikua anadanganya.
Waulize Watu wa Simba SC tafadhali kwani Mimi siyo Mshabiki wa Simba wala Yanga wala Azam bali ni wa Taifa Stars japo Simba SC naiona Moto!!
 
Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
Japo Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC bali ni wa Taifa Stars tu naomba kujua ni kwanini Suala hili la Chama Kusinya / Kusaini limewauma Yanga SC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…