Ya Moto Moto: Clatous Chota Chama aongeza Mkataba na Simba SC kwa Miaka mingine Mitatu

Ya Moto Moto: Clatous Chota Chama aongeza Mkataba na Simba SC kwa Miaka mingine Mitatu

Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
 
Utakuwa utopolo wewe,unaonekana unaumia sana!

Sie wenye Simba mbona raha tu.Makocha wapo wengi sana na wazuri kuliko huyo Sven.
Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
 
Kwahiyo Mudi Aliwadanganya Wamatopeni Kwa Media?
Suala la usajiri ni vita, we unataka ukweli wote uwe unasemwa kila wakati?

Imagine Mo angesema wakati ule Chama hajaongeza mkataba,unadhani ni vilabu vingapi vya ndani na nje ya nchi vingeanza vurugu zao kutafuta saini yake?

Hata mimi huwa nadanganya sana pale inapobidi.Najua hata wewe huwa unadanganya sana pia ili mipango yako iende sawia bila usumbufu.
 
Kwahiyo Mudi mwanzo aliposema kampa mkataba wa miaka miwili alikua anadanganya.
Uongo ndio mashine kuu ya kukngoza hapa Bongo, mambo ambayo hutasikia na kama ukisikia ni ya uongo ni pamoja umri wa mkataba na dau la usajili wa mchezaji.
 
Yanga hawakuwa na lengo la kumsajili triple C msiwaelewe vibaya wao lengo lao ni kusajili chama cha kisiasa yaani "chama cha wananchi Tanzania" sio chama mchezaji.[emoji28]
 
Mudi mswahili sana
Uongo ndio mashine kuu ya kukngoza hapa Bongo, mambo ambayo hutasikia na kama ukisikia ni ya uongo ni pamoja umri wa mkataba na dau la usajili wa mchezaji.
 
Picha za kitambo Alisign kitambo ila picha mmetoa mmetoa leo ili kufunika inshu ya kishingo kwenda Morocco
Japo Mimi siyo Mshabiki wa Simba SC bali ni wa Taifa Stars tu naomba kujua ni kwanini Suala hili la Chama Kusinya / Kusaini limewauma Yanga SC?
 
Back
Top Bottom